Nimenuniwa na mpenzi wangu

Nimenuniwa na mpenzi wangu

Matatizo mengi ya mahusiano hutatuliwa Kwa kujadiliana.

Nikupongeze Kwa kuweza kuonesha jitihada za kutaka myajadili na mwenzako

Swali la kujiuliza, hali ya wewe kununiwa na huyo mpenzi wako huwa inatokea mara Kwa mara ama ni leo tu?

Una uhakika haujamkwaza kupelekea yeye kuwa hivyo?

Sio vibaya kumwandikia ujumbe wa kumuomba msamaha, ninyi miaka yenu mna njia nyingi za kufikisha ujumbe ikiwemo hizo social networks

Sisi miaka yetu ilikuwa hadi unatuma Wazee waende kukuombea msamaha, wakati huo Mwanaume unanunua Doti kadhaa za Wax na Khanga ili kumfanya Mwanamke asiwe mgumu kupokea msamaha wako

Keep knocking, the door will soon opened 🤗
 
😀Rafikiyngu kapigwa tukio km Hilo wiki ya Tatu hii penzi moto ghafla mtu kimya piga cm wapi akampigia Kwa namba ngeni mwanaume akasema kuwa hamjui 😭
Ndio kashaachwa inaumiza balaa ila wanaume jamni
Yani ACHA tu unakuta hujamkosea alikua anakupenda weee anakuonesha Upendo Kwa kila njia then ghafla mtu kimya
 
Back
Top Bottom