Nimenuniwa na mpenzi wangu

Nimenuniwa na mpenzi wangu

Ila jamani 🤣🤣🤣
Jambo unalifanya kwa siri likiharibika unakuja hadharani kuomba upewe pole, aisee miss_Mariaah pole sana. Keep moving on ishatokea hiyo and you won't change anything.
 
Ila jamani 🤣🤣🤣
Jambo unalifanya kwa siri likiharibika unakuja hadharani kuomba upewe pole, aisee miss_Mariaah pole sana. Keep moving on ishatokea hiyo and you won't change anything.
Kwasababu hatujuani humu so mtu anaandika chochote tu 😆😆😆 ila whatsapp pagumu maana tunayo hadi namba yako.
 
Mkuu ,hizi stress za mapenzi , hazinaga kuficha , nilishafia hatua ya kumweleza hadi mama yangu mzazi akaniombee msamaha kipindi hicho , akanipiga na mwiko wa ugali kichwani😁😁
Ila ni kweli mkuu, mapenzi huwa yanahusisha emotional sana so yeyote anaekujia akilini ambae unahisi labda anaweza kukusaidia unamwagia tu yanayokusibu😂😂😂
 
Tumpe pole tu maana tutafanyaje sasa? Au kuna msela anataka jimbo? Au ni trick tu huyu mrembo kutuambia yupo available?🤣🤣🤣
Kwamba ni tangazo lilikoandikwa kitasha sio? Aseme direct sasa tusemezane maana tupo wakumingo.
 
Back
Top Bottom