Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Pole sana Mjukuu, Kwa hali uliyonayo Kuna Kila sababu uje huku Kijijini nimwambie Bibi yako akufanyie Kanselingi kidogo 😜Babu mahusiano yetu ni machanga hajawahi ninunia ndo Leo pia sijamkosea last time tumeongea vizuri Sana ...babu nlifanya jitihada za kumuuliza Lakin kimya...niombe msamaha Kwa kosa lipi babu
Ila Kwa uzoefu wangu, mara nyingi sisi Wanaume iwapo tunanyimwa tamu huwa Moja haikai Wala mbili haikai.
Hebu fanya mpango uonane na BF yako mahali pa Falagha ili muyajenge.