Nimenuniwa na mpenzi wangu

Nimenuniwa na mpenzi wangu

Ila ni kweli mkuu, mapenzi huwa yanahusisha emotional sana so yeyote anaekujia akilini ambae unahisi labda anaweza kukusaidia unamwagia tu yanayokusibu😂😂😂
Nyie acheni tu ndomana watu huwa wanajiua au kufanya ukatili sababu YA kukaa nalo
 
Naijuia hiyo....Ila huyu sijategemea
Ndio binadam walivyo pole nitakucheki dm ili kama akiendelea kukaa kimya mi nikuchukue mtoto mzuri naahidi kukupenda milele daima kama ngozi na nyama tutanatana
 
Ndo siku Tatu kwann isiwe masaa 12 kwanza Haina afya mnuniane siku 3 km watoto
Kwa kweli kununiana Siku 3 haifai, lakini Kwa uzoefu wangu wanaonunaga mara Kwa mara ni Wanawake.

Lakini mjukuu, Hivi Mjukuu umewahi ku-date na Lastborn wewe? (Mniwie radhi ma Lastborn wote humu Jukwaani).

Hao watu hata ukiwa nao Kwa rumu ukiwa unampiga deki kama ni Ke basi atakuwa analia Kwa kudeka tu ukisema umwache analia tena.....yaani Mwanaume anabaki dilemma asipige deki ama apige deki🙌
 
Hello JF,

Mwenzenu nimenuniwa Na mwanaume Wangu siku ya 3 Leo sijui kosa langu ni Nini,..last time kuongea Nae ilikua jumapili na tuliongea vizuri tu Kesho yake kimya nilimpigia Na SMS nikamtumia nikamuliza tatizo Nini hakunijibu....mpk dk hii kimya....Na social media anaingia vizuri tu...Na Mimi nimeamua nikae kimya.....Ila naumia sana....
Endelea kumtafuta Mpenzi wa Moyo wako. Usichoke. Jipe Furaha Mwenyewe
 
Back
Top Bottom