Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
- Thread starter
- #41
Babu nilimwambia mpaka tuoaneSasa hiyo kitu ndiyo ya kunyima kweli?😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu nilimwambia mpaka tuoaneSasa hiyo kitu ndiyo ya kunyima kweli?😜
Mapenzi ya sahivi hauachwi kwa kuambiwa, mtu anajikataa tu unabaki unadate mwenyewe....😄M benzi wake , kashajiongeza yeye anafeli wap kuwa na mpenzi wake?
😂😂😂Na vitunguu umemeza 😹😹
Pole mariah muache kwanza yupo na mpenzi wake wakimalizana atarudi....
100%✅️✅️✅️✅️✅️✅️Na vitunguu umemeza 😹😹
Pole mariah muache kwanza yupo na mpenzi wake wakimalizana atarudi....
Bado Naona Ni mapema Sana kuamua ivyo...najipa Moyo huenda atanitafutaSahivi mpenzi wake atakua na mpenzi wake afanye tu namna awe na mpenzi wake mwingine 😹
KabisaMapenzi ya sahivi hauachwi kwa kuambiwa, mtu anajikataa tu ubanaki unadate mwenyewe....
Ahsante napotezea Ila naumiaMapenzi yanauma sana
Pole dear nawe mpotezee tu
Atarudi tulia tu usimsumbue...Bado Naona Ni mapema Sana kuamua ivyo...najipa Moyo huenda atanitafuta
Mpambe sana weweKabisa
😂😂😂😂😂😂😂😂Nishaacha dose now mwili umepoaNa vitunguu umemeza 😹😹
Pole mariah muache kwanza yupo na mpenzi wake wakimalizana atarudi....
Wanaume kwanini mnanunaPole ndivyo yalivyo
Vijana wanakwepa lawama ila kuacha kwa hivi pia wapata nafasi ya kuja kupasha viporo kiroho safi😁😁😁Mapenzi ya sahivi hauachwi kwa kuambiwa, mtu anajikataa tu ubanaki unadate mwenyewe....
Vumilia tuNkiwa Na michepuko sitaenjoy Wala kufurahia love
😀Mpambe sana wewe
Hongera make ungekua na dozi unapiga kwakweli mambo yangekua mchanganyiko 😹😹😹😂😂😂😂😂😂😂😂Nishaacha dose now mwili umepoa
Yani ACHA tu unakuta hujamkosea alikua anakupenda weee anakuonesha Upendo Kwa kila njia then ghafla mtu kimya😀Rafikiyngu kapigwa tukio km Hilo wiki ya Tatu hii penzi moto ghafla mtu kimya piga cm wapi akampigia Kwa namba ngeni mwanaume akasema kuwa hamjui 😭
Ndio kashaachwa inaumiza balaa ila wanaume jamni
Acha mwenzako aburudike sasaSina Na siwezagi kuchepuka