Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Dr unataka utumie kama fursa!😁😁Pole sana uko wapi muda huu ? Embu njoo hapa cricket tuone hili suala tunalitatua vipi maana hata Mimi sijapenda kabisa tabia ya shemeji
Njoo Pm tuchat acha na huyo mwanaume wako mwenye tabia za kikeHello JF,
Mwenzenu nimenuniwa Na mwanaume Wangu siku ya 3 Leo sijui kosa langu ni Nini,..last time kuongea Nae ilikua jumapili na tuliongea vizuri tu Kesho yake kimya nilimpigia Na SMS nikamtumia nikamuliza tatizo Nini hakunijibu....mpk dk hii kimya....Na social media anaingia vizuri tu...Na Mimi nimeamua nikae kimya.....Ila naumia sana....
Hapana rafiki ,Mimi kiukweli katka kitu sipendi nikuona mwanamke ananyanyaswa vyovyote vile iwe kihisia ,kiimani na kimahaba lazima niwe m ele kumteteaDr unataka utumie kama fursa!😁😁
Ni mapenzi mapya?Hello JF,
Mwenzenu nimenuniwa Na mwanaume Wangu siku ya 3 Leo sijui kosa langu ni Nini,..last time kuongea Nae ilikua jumapili na tuliongea vizuri tu Kesho yake kimya nilimpigia Na SMS nikamtumia nikamuliza tatizo Nini hakunijibu....mpk dk hii kimya....Na social media anaingia vizuri tu...Na Mimi nimeamua nikae kimya.....Ila naumia sana....
Ndiyo sikatai nikweliSema ukweli, umemnyima
Ngumu kuaminiMzamia meli hawezi akawa baharia.
Wewe sio wa maana kwake kwasasa.
Hauna umuhimu kama unavyo fikiri.
Jiongeze
Bora ujue kosa Lako ujue ulimkoseaHapana rafiki ,Mimi kiukweli katka kitu sipendi nikuona mwanamke ananyanyaswa vyovyote vile iwe kihisia ,kiimani na kimahaba lazima niwe m ele kumtetea
Ulijiingiza kwa mpenzi wa watu,amerudi kwenye kisima chake,Ngumu kuamini
NdiyoNi mapenzi mapya?
Kanuni yangu...nampenda anipendaye....ukileta kiburi ndio kwaheri