Nimenuniwa na mpenzi wangu

Nimenuniwa na mpenzi wangu

Haya maisha haya
Kuna wanaume wanajua kununa
Mi kuna siku ikabidi nilale uchi wa mnyama kumtega
Wakati siwez laka bila pajama na blanket
Ni mtu ninayesikia baridi mda wote
Ila alikula vitu
ewaaaa nyie ndio wanawake bwana, msamaa ni kumpea mume wako mbususus. baada ya hapo sasa ndio mnaanza lakini mama dorothy unajua usirudie tena kunikwaza sasa mammy. imeisha hiyo
 
Hahaha yaani
After game kila kitu kimeisha
Mi sina nguvu ya kumnununia wala siwez
Bishana nikiona nimeshindwa silaha yangu ya akiba ndio hiyo
 
na hamna mwanaume rijali anaweza chomoa hapo. alafu sasa raha yake usibuhi bby akuandalie na chai loh!!!
ukifika kwenye mihangaiko yako unamtumia bby meseji tamu alafu na kahela ka kwenda kufanya shopping.
aisee sie wenye ndoa tunaenjoy nyie
 
Hahahah๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Ngoja kataa ndoa waione
 
Back
Top Bottom