Nimenuniwa na mpenzi wangu

Pengine kagombana na mpenzi wake wewe unaendelea kujiuliza umemkosea nini.πŸ˜€
 
Tupo nae hapa Polisi Central tulikamatwa sema ana mawazo sana juu yako hajui kama uko sawa kabisa ila tunapambana tuachiwe Shemdarling yana mwisho haya
 
Mwanamke ukiwa kisirani au mjuaji una ujeuri au kiburi kwa mwanaume yeyote anayejielewa huwa anakukalia kimya (nyinyi mnatafsiri kununa) kwa sababu aina hiyo ya wanawake huwa mnawapa maumivu ya kichwa.
 
Wazibe hilo kojolea afu uishi nae kwa kuona kwamba ngono SI issue....kwenye ndoa ngono Ina zaid ya asilimia 70..
Hujaelewa nime sema sio big issue hadi wanyimane,kwani hicho ni kiburudisho.mean kunyima unanyima iliiweje wakati ni kiburudisho.ukinyima(ndoa) unaachwa....usiwe unaharaka ya kureply kama hujaelewa.
 
Mwenzenu uvumilivu ukanishinda nkaamua kumtafuta..nikampigia hakupokea nikamtumia message ndefuu 5 kama gazetii..Na bado hakujibu kitu alikaa kimya mpaka asubuhi hii ila online WhatsApp alikuwepo πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘
 
ok pole basi siku akikujambia uje hapa kutueleza
 
Siku hizi changamoto ni nyingi Mjukuu, unaweza kusema usubiri hadi Ndoa ukaja kuuziwa Mbuzi kwenye gunia

Bora kupima kina cha Maji kabla hujayaingia
Aaaaah tumekwisha kabisa kama hawa ndio wazee wa siku hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…