Nimenuniwa na mpenzi wangu

Siku hizi changamoto ni nyingi Mjukuu, unaweza kusema usubiri hadi Ndoa ukaja kuuziwa Mbuzi kwenye gunia

Bora kupima kina cha Maji kabla hujayaingia
Babu hatimaye mpenzi Wangu kanipigia simu kumbe aliibiwa simu
 
Hakupendi huyo
 
Hakuna mwanamke mwenye papuchi tamu akanuniwa..itakua papuchi yako ina shida flani flani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…