Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

Watu wengine bana hukujua nn ulitaka? Km unataka midundo kama sound za dumu au ulitaka real sound?
 
Hukuziona Sea piano 🤣🤣 Mziki wa laki tatu unanaandikiwa notice ya kelele na Balozi wa nyumba kumi wa Mtaa wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…