Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

Hayanaga maajabu hayo madude,zaman nilkuwa nasikia home theater nikazan ni mziki wa maana kumbe sio,hayo madude ni kwa ajili ya kutazamia muvi na sio kusikilizia mziki

Kama unapenda mziki kweli nunua redio ya kuanzia bei hyo laki 7 iwe mtumba au mpya
 
Nilinunua huo mziki baada ya kuufungulia mziki wake sikuridhika nao nikapiga bei. Nikafata soundbar ya samsung A550 aisee mziki safi sana.
 
Mleta uzi anazungumzia muziki kwa matumizi ya nyumbani mkuu
Sasa mziki na home thearte wapi na wapi?

Home thearte na soundbars (soundbar pia ni home thearte, in a bar) hazijatengemezwa kwa ajili ya mziki.

Mtoa mada (na wengi wetu humu) hajui hicho anachokitaka (mziki) anatakiwa akipate wapi.

Mtu akiona kitu tu kina speakers basi anajua kinaweza kumpa mziki..
 
Ni kampuni ya LG. Kuna maandishi yanasomeka lhd657 january 2023. Nimeifunga ndani kwangu cha ajabu inazidiwa mkito na hizi sabufa za kichina spiano

Nimeinunua 700k. Pesa yangu inaniuma sana kwa hiki nilichokutana nacho

Nimeagiza mwanza sijafata mwenyewe. Je, hii sio fake kweli wakuu?
kwani ulikuwa uanata kuigeuza nyumba ya watoto kuwa baa, umepigwa njoo tugawane hasara nikupe laki3.5
 
Sasa mziki na home thearte wapi na wapi?

Home thearte na soundbars (soundbar pia ni home thearte, in a bar) hazijatengemezwa kwa ajili ya mziki.

Mtoa mada (na wengi wetu humu) hajui hicho anachokitaka (mziki) anatakiwa akipate wapi.

Mtu akiona kitu tu kina speakers basi anajua kinaweza kumpa mziki..
Jamaa alichokosa kwenye ile LG aliyonunua ni mkito ndio shida yake. Anasema inazidiwa hata na subwoofer kama Sea Piano

Mimi natumia Sony home theatre 1000W yeye speaker 2 ndefu kwa mziki tu wa nyumbani inanitosha na mkito uko poa ndio ushauri wangu uko hapo
 
LG siku hizi nyingi fake ... watts 1000 kkoo adi laki sita si masihara hayo
 
Subwoofer za mchina ni kwa mtu ambaye hana hela ya kununua mziki unaoeleweka.

Soundbars ni home theater in a bar.
They are "Okay" for music, zitakupa mziki wa kawaida kwa sababu hazikutengemezwa kwa ajili ya mziki.. hakuna maajabu hasa.

Ukitaka mziki wa ukweli, nunua system iliyotengenezwa Specifically kwa ajili ya Music.
 
Kwa Edifier hapa sasa tunazungumzia mziki.

It's a good entry level set inayokupa mziki halisi. I hope Edifier uliyonayo ni Active Speakers.

Inashangaza M'bongo anataka mziki halafu anaenda kununua Homethearte au soundbar(soundbar ni home thearte pia, in a bar)!!
Wengi wao hawazijui coz kupatikana ni ishu lakini trust me ukiipata Edfier umepata kila kitu unachokiitaji kwny mziki na movie. Hii niliyonayo inazaidi ya miaka 8 na mziki wake ni uleulee
 
Wengi wao hawazijui coz kupatikana ni ishu lakini trust me ukiipata Edfier umepata kila kitu unachokiitaji kwny mziki na movie. Hii niliyonayo inazaidi ya miaka 8 na mziki wake ni uleulee
Exactly. Back in time Wakati nataka kununua HiFi System, mojawapo ya Options nilizokuwa nazo ilikuwa Edifier. (Japo sikuchukua Edifier)

Bahati mbaya Bongo haziuzwi na wabongo wengi hawajui sound system nje ya Sony, LG na Samsung.

Hiyo Edifier yako ni Powered Speakers I guess.
 
Kabla hujaagiza mbona hukuja kutuuliza?

Ok kwahiyo lengo lako ni kutukomesha majirani tusisinzie kisa midundo mikubwa?
 
Mkuu me nilinunua Radio LGCM5760 Watt 1100. Mwanzoni nilikuwa kama siielewi nilikuwa naiunganisha kwenye computer Kwa kutumia haya manyaya ya kichina nilikuwa naona inamziki wa kawaida Sana. But siku Computer yangu ilipokubali kuiunga hii radio Kwa Bluetooth hapo ndo nilipoanza kusikia mziki mzito na uliochujika vizuri. Kingine haichemki we piga mziki mpaka asubuhi Coz imefungiwa feni maalumu Kwa ndani.
 
Picha
 
Lg mkuu ungenunua Sony nikipiga Sony yangu dav dz 650 watts 1000 jamanii sijutii huku nasikiliza mayday ya fally [emoji1787]
Zinapatikana wapi?
Huku Mwanza kuna vitu vya hovyo hovyo tu
 
Back
Top Bottom