Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo za Mchongo. Watts 1000 hio ni sawa na 167watts kwenye subwoofer. Sasa huwezi niambia hizo watts zikawa hazitoi kishindo cha maana unless hio woofer umewekewa box watts 1000 ila system ya watts 330mkuu kwenye box lake imeandikwa 1000 W RMS. sio wtt zenyewe kweli?
Kibongo bongo watu wana afford vizruri.Sony tena? Mgeni bado wa mziki. Kuna brands kama Ankyo, JBL, Audio Research, Denon, Luxman, Bosè, Pioneer ukizisikia hizo Sony ni kama kopo la chooni.
Kelele kubwa ni hatari kwa ngoma za sikio lako.Ni kampuni ya LG. Kuna maandishi yanasomeka lhd657 january 2023. Nimeifunga ndani kwangu cha ajabu inazidiwa mkito na hizi sabufa za kichina spiano
Nimeinunua 700k. Pesa yangu inaniuma sana kwa hiki nilichokutana nacho
Nimeagiza mwanza sijafata mwenyewe. Je, hii sio fake kweli wakuu?
Angechukua Sony 1000w yenye speaker 2 au 4 ndefu angeinjoiKwa upande wa sound hadi sasa Sony ndio naona anafanya vizuri sana....
Hakuna mbona system zingine unaskiliza dundo la kwenda tu. Mfano JBL soundbar zinagonga kama ugomviUmeenda nje ya mahitaji🤣🤣🤣.
Unataka mziki mnene nunua zile Xboom ,twin towers funga na amplifier.
Tafuta watts 1000 na kuendelea tafuta zile speaker kama kweny Mad max fury
Cancel hiyo order ,hiyo vizio nilishaukita zanzibar, haina mkito, bass yake ya kawaida maana inaanzi 45hz, hiyo hata seapiano anamkalisha, bora ingeanzia walau 30 hz. Pia manufacture ameficha kabisa real wattage za hiyo bass.niliiacha,ni heri ukachukua sony dav z650 au 950nimemwambia anitafutie vizio m-series 5 sound bar ikishindikana bas
[emoji16][emoji16][emoji16]LG ya 330W ni sawa na 60W rms kwenye woofer. Upuuzi mtupu
Hapo ungejichukulia mzigo wako wa JBL Extreme 3 na chenji ingebaki na usingejutia kuhangaina na vitu vinajaza nafasi ndaniNi kampuni ya LG. Kuna maandishi yanasomeka lhd657 january 2023. Nimeifunga ndani kwangu cha ajabu inazidiwa mkito na hizi sabufa za kichina spiano
Nimeinunua 700k. Pesa yangu inaniuma sana kwa hiki nilichokutana nacho
Nimeagiza mwanza sijafata mwenyewe. Je, hii sio fake kweli wakuu?
Picha?Me natumia edifier. Hii kitu ni zaidi ya speaker. Haziharibiki wala hazichuji mziki wake ni balaa
Picha?Hapo ungejichukulia mzigo wako wa JBL Extreme 3 na chenji ingebaki na usingejutia kuhangaina na vitu vinajaza nafasi ndani
MAYDAY😍Lg mkuu ungenunua Sony nikipiga Sony yangu dav dz 650 watts 1000 jamanii sijutii huku nasikiliza mayday ya fally [emoji1787]
Hela yake unanunua istcha msingi tafuta kampuni zilizo specialize na sound systems; kama sonos na bang & olufsen
Just Google itPicha?
Duh sina hakika sana ila nachelea kusema itakuwa umepigwa aisee maana haiwezekani ufunge kinu cha 700k halafu mziki utoke wa kitoto,Ni kampuni ya LG. Kuna maandishi yanasomeka lhd657 january 2023. Nimeifunga ndani kwangu cha ajabu inazidiwa mkito na hizi sabufa za kichina spiano
Nimeinunua 700k. Pesa yangu inaniuma sana kwa hiki nilichokutana nacho
Nimeagiza mwanza sijafata mwenyewe. Je, hii sio fake kweli wakuu?