Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
Pole sana ,hiyo hela ungepata mziki mzuri sana wa mtumbaNi kampuni ya LG. Kuna maandishi yanasomeka lhd657 january 2023. Nimeifunga ndani kwangu cha ajabu inazidiwa mkito na hizi sabufa za kichina spiano
Nimeinunua 700k. Pesa yangu inaniuma sana kwa hiki nilichokutana nacho
Nimeagiza mwanza sijafata mwenyewe. Je, hii sio fake kweli wakuu?