Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,349
Maswala ya kusubiria asilimia 25 ya pension siyataki kuyasikia kabisa.
Nimenunua plot yangu , sasa nasubiria mvua zinyeshe nianze kulipanda miti ya matunda na kivuli ,pamoja na kuweka fensi.
Baada ya hapo nimetenga eneo la kujenga nyumba ya kuishi.
Nyuma ya nyumba eneo lote napanda miti ya matunda, nachimba bwawa la kufuga samaki, natenga eneo la kufuga bata na kuku, natenga kisehemu cha kulima mboga mboga.
Nimeamua kufanya hivi ili mwaka 2052 nikistaafu niwe nimeshazoea kazi za kujiajili mwenyewe.
Natafuta pia kampuni ya kuchimba kisima, nataka nichimbe kisima kwenye eneo hilo.
Asubuhi mpaka tisa unusu namtumikia kaisari, baada ya hapo naenda kwenye shughuli zangu.
Sasa nyie endeleeni kulia kulia na wabunge kuhusu 25%.
Tuandae mazingira mapema ya kujiajiri