Nimenunua plot ya 70 kwa 40 sasa nasubiria mvua zianze kumwagika nipande miti

Nimenunua plot ya 70 kwa 40 sasa nasubiria mvua zianze kumwagika nipande miti

2052 - 2018 = 34.

55 (miaka ya kustaafu) - 34 = 21

Ina maana sasa hivi una miaka 21?
 
Mmmh!!!! nusu ekari (40-70m) unataka ufanyie miradi kibao kiasi hicho, yaani akiri za watumishi ziko mbali sanaa namaisha halisi ya kitaa....fikra zao haziendagi mbali na ufugaji wa kuku, ngombe wa maziwa, kupanda miti, kulima mboga mboga nk. Kwa asilimia kubwa nadhani wewe utakua mualimu.
Tuelumishe basi tufanye nini kingine, kutunanga walimu ni kutuonea mana tulifundishwa kuanda somo na saikolojia ya mtoto.Mbona kuanzisha shule hujasema mkuu au huwa hatufanyi.Kumbuka hata Raisi wako ni mwalimu na anawashikisha adabu.
 
tafuta vijisenti hilo eneo uongeze ukubwa, liwe karibia ekari mbili na ushee......

panda parachichi humo za kutosha, aisee utastaafu kwa amani!
Hajasema amenunua wapi! Parachichi zinakubali sehemu za nyanda za juu kwenye baridibaridi, hivyo kwenye joto hazikubali.
 
Maswala ya kusubiria asilimia 25 ya pension siyataki kuyasikia kabisa.

Nimenunua plot yangu , sasa nasubiria mvua zinyeshe nianze kulipanda miti ya matunda na kivuli ,pamoja na kuweka fensi.

Baada ya hapo nimetenga eneo la kujenga nyumba ya kuishi.

Nyuma ya nyumba eneo lote napanda miti ya matunda, nachimba bwawa la kufuga samaki, natenga eneo la kufuga bata na kuku, natenga kisehemu cha kulima mboga mboga.

Nimeamua kufanya hivi ili mwaka 2052 nikistaafu niwe nimeshazoea kazi za kujiajili mwenyewe.

Natafuta pia kampuni ya kuchimba kisima, nataka nichimbe kisima kwenye eneo hilo.

Asubuhi mpaka tisa unusu namtumikia kaisari, baada ya hapo naenda kwenye shughuli zangu.

Sasa nyie endeleeni kulia kulia na wabunge kuhusu 25%.

Tuandae mazingira mapema ya kujiajiri
Umenunua TSh ngapi boss
 
Mmmh!!!! nusu ekari (40-70m) unataka ufanyie miradi kibao kiasi hicho, yaani akiri za watumishi ziko mbali sanaa namaisha halisi ya kitaa....fikra zao haziendagi mbali na ufugaji wa kuku, ngombe wa maziwa, kupanda miti, kulima mboga mboga nk. Kwa asilimia kubwa nadhani wewe utakua mualimu.
Pa kuanzia ni kheri kuliko kutoanza kabisa,
 
Ni bora kuanza kwa kidogo hicho kuliko kusubiri ekari 5, si unajua watumishi walivyo waoga wa kuanzisha miradi?

Hapa ni kujivua ufahamu tu hata kama kuna risks, tutapambana nazo hivyo hivyo mpaka kieleweke
Mmmh!!!! nusu ekari (40-70m) unataka ufanyie miradi kibao kiasi hicho, yaani akiri za watumishi ziko mbali sanaa namaisha halisi ya kitaa....fikra zao haziendagi mbali na ufugaji wa kuku, ngombe wa maziwa, kupanda miti, kulima mboga mboga nk. Kwa asilimia kubwa nadhani wewe utakua mualimu.
 
Nimeshapata utatatibu wa kuchimba kisima , sheria za nchi zote zitafuatwa.

Maana kutofuata sheria ni kujiongezea stress na mm nafanya hivi kwani sitakagi mistress yasio ya lazima
Usisahau kulipa kodi ya Kisima mkuu.
 
"Unrealistic plans" kafaili hata kabla ya kuaanza,
Endelea kukatisha tamaa, lakini ndio gari lomeondoka hivyo.

Na kufanya hivi sio kwamba nimekurupuka, Nina sample example ya waliofanikiwa kwa kuanza hivi.

Nikianza na bwawa la samaki 1, banda la kuku, banda la bata , baada ya hapo macow wanafuata.

Ntatoboa tu, Mungu yupo naamini ntafanikiwa kwa Jina la aliyejuu .
 
Nimeshapata utatatibu wa kuchimba kisima , sheria za nchi zote zitafuatwa.

Maana kutofuata sheria ni kujiongezea stress na mm nafanya hivi kwani sitakagi mistress yasio ya lazima
Huna spirit ya kua future businessman

Ma tycoon wote unaowaona Bongo hii na dunia nzima hawana lugha yako ya "kufuata sheria zote za nchi".
 
Mplot wa 4.5mill , Nina mpango wa kuongeza upande wa pili kama huyo

Huko ni dar es salaam nini ? Hiyo hela njombe unanunua zaidi ya hekali 20.kuna eneo nilinunua njombe laki 9 heka 2.5jingine heka 10 kwa milioni moja tena yote yapo karibu na maji(mto) daresalaam heka moja niluziwa milioni 6 tena na jamaa, ilikuw mapema zaidi.Ukiwa na milioni 10 njombe basi utapata maeneo ya kukuletea utajiri, utapanda miti au parachichi.Kwa watu wenye kipato cha chini bora ununue mikoani au pwani ndani ndani.
 
Ni mikoani mkuu, ni kweli ulivyosema

Back
Top Bottom