Nimenunua soda iko hivi, je niwashtaki?

Nimenunua soda iko hivi, je niwashtaki?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Leo nimenunua soda ndani kuna karatasi, kitu ambacho ni hatari kwa afya ya mnywaji! Je nikiwashtaki nitalipwa? JF wanasheria naombeni msaada wenu...

0AC0D0AD-FC2F-4DCD-892F-E79F108FD1E9.jpeg


97760764-67C4-4D6C-B5FC-82F9313DC958.jpeg
 
Soda ni dope

Soda inakupa uteja

Ona watu wanavyohaha na hayo madude 😂😂

Tukiwambia wanywe maji na bia hawasikii

Ova
 
Leo nimenunua soda ndani kuna karatasi, kitu ambacho ni hatari kwa afya ya mnywaji! Je nikiwashtaki nitalipwa? JF wanasheria naombeni msaada wenu...

View attachment 2089629

View attachment 2089633
Hapo ndo pakutokea chukua zile clip za fanta, mirinda na Pepsi unganisha na hyo tafuta mtu wa ubora na uhakiki wa Bidhaa kwa mteja kutoka Coca-Cola international muulizie hiyo imekaaje wanaakikisha vp afya za wateja zitakuwa salama?

NOTE: Tafuta email au mawasiliano ya simu ukikutana face to face atakupiga sound na hata akikupa mpunga itakuwa kidogo muhimu uzingatie asijue wewe n Nani pia kwenye email unaeza watafuta tbs na tmda kwa pamoja kuwauliza Hilo na ukiwapa habari utatufuta chombo Cha habari kimoja ili kionueshe uchafu na kutokuwa makini na usafi wa kifungashio na kukiruhusu kifike kwa mteja.

Ukitulia vizuri hapo unapata mtaji
 
Jela inakuita. Wako tayari kuwalipa mamilioni wanasheria kuliko kukubali kwamba Ni yao.
Wakikubali kwamba Ni kosa Lao soko litaporomoka.
Wao watamdai fidia kwa kuchukua soda yao kuitia uchafu na kusambaza picha mtandaoni
 
Back
Top Bottom