Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Umenikumbusha mbali sana,Hupati kitu lazima uinywe na uonyeshe umepata madhara kiafya. Soma case ya Donogue versus Stevenson (1932) kuhusu doctrine of negligence
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikumbusha mbali sana,Hupati kitu lazima uinywe na uonyeshe umepata madhara kiafya. Soma case ya Donogue versus Stevenson (1932) kuhusu doctrine of negligence
HahahaaaaNa wanakupa fidia
Shikilia hapo hapo ndio pakutokea.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wewe sio wakwanza Kuna mtu nilikua nae mahali alikunywa coca akakutana na kikaratasi kama hicho sema hakina maandishiLeo nimenunua soda ndani kuna karatasi, kitu ambacho ni hatari kwa afya ya mnywaji! Je nikiwashtaki nitalipwa? JF wanasheria naombeni msaada wenu...
View attachment 2089629
View attachment 2089633
Kuhusu kwenda kwenye magazeti Wala asihangaike. Jamma langu alishakuta uchafu kwenye soda, akaenda kwenye gazeti moja la heshima kabisa wakamtolea nje.Hapo ndo pakutokea chukua zile clip za fanta, mirinda na Pepsi unganisha na hyo tafuta mtu wa ubora na uhakiki wa Bidhaa kwa mteja kutoka Coca-Cola international muulizie hiyo imekaaje wanaakikisha vp afya za wateja zitakuwa salama?
NOTE: Tafuta email au mawasiliano ya simu ukikutana face to face atakupiga sound na hata akikupa mpunga itakuwa kidogo muhimu uzingatie asijue wewe n Nani pia kwenye email unaeza watafuta tbs na tmda kwa pamoja kuwauliza Hilo na ukiwapa habari utatufuta chombo Cha habari kimoja ili kionueshe uchafu na kutokuwa makini na usafi wa kifungashio na kukiruhusu kifike kwa mteja.
Ukitulia vizuri hapo unapata mtaji
Unaijua bongo ww mswahili kichwa naz anaweza kumletea wahun apoNa wanakupa fidia
Shikilia hapo hapo ndio pakutokea.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
KIDUDU CHAKO KINATOSHA APO? Au unafanya kulengesha?fanta puple hiyoo..
hivi hizi chupa km hazioshwi vzr bas ni majanga..
maana mimi nazitumia sn kw hj ndogo hasa usiku..
Hehehe wapi huko au mwaka wa pili chuo wakati unasoma Law of Tort?Umenikumbusha mbali sana,
Dah we Acha tu, kumbe na wewe ulipitia huko huko eeh, law ni tamu sana ila unatakiwa uwe na case kibao kichwani,.Hehehe wapi huko au mwaka wa pili chuo wakati unasoma Law of Tort?
Lawyers always talk with supporting evidence. Huwezi kuwa na evasive assertions tu Kama mwehu.Dah we Acha tu, kumbe na wewe ulipitia huko huko eeh, law ni tamu sana ila unatakiwa uwe na case kibao kichwani,.
Kila somo na Case zake, balaaa
KwahiyoooWewe sio wakwanza Kuna mtu nilikua nae mahali alikunywa coca akakutana na kikaratasi kama hicho sema hakina maandishi
Mjaze ujinga mwenzakoHapo ndo pakutokea chukua zile clip za fanta, mirinda na Pepsi unganisha na hyo tafuta mtu wa ubora na uhakiki wa Bidhaa kwa mteja kutoka Coca-Cola international muulizie hiyo imekaaje wanaakikisha vp afya za wateja zitakuwa salama?
NOTE: Tafuta email au mawasiliano ya simu ukikutana face to face atakupiga sound na hata akikupa mpunga itakuwa kidogo muhimu uzingatie asijue wewe n Nani pia kwenye email unaeza watafuta tbs na tmda kwa pamoja kuwauliza Hilo na ukiwapa habari utatufuta chombo Cha habari kimoja ili kionueshe uchafu na kutokuwa makini na usafi wa kifungashio na kukiruhusu kifike kwa mteja.
Ukitulia vizuri hapo unapata mtaji
😂😂😂fanta puple hiyoo..
hivi hizi chupa km hazioshwi vzr bas ni majanga..
maana mimi nazitumia sn kw hj ndogo hasa usiku..
nani aliyetunga Jina KIDUDUKIDUDU CHAKO KINATOSHA APO? Au unafanya kulengesha?
Kidogo nidhani ni mirinda nyeusi.Leo nimenunua soda ndani kuna karatasi, kitu ambacho ni hatari kwa afya ya mnywaji! Je nikiwashtaki nitalipwa? JF wanasheria naombeni msaada wenu...
View attachment 2089629
View attachment 2089633