Nimenunua soda iko hivi, je niwashtaki?

Nimenunua soda iko hivi, je niwashtaki?

Soda za chupa Ni majanga siku hizi,
Hadi Dada zetu wamezigeuza viburudisho vyao.
 
Mimi nilishaacha kunywa vinywaji vya kurudishwa chupa....
 
Leo nimenunua soda ndani kuna karatasi, kitu ambacho ni hatari kwa afya ya mnywaji! Je nikiwashtaki nitalipwa? JF wanasheria naombeni msaada wenu...

View attachment 2089629

View attachment 2089633
Mara mia umeishtaki Serikali kwa sababu yenyewe ni baba, ni rafiki yako kwa upande mwingine! Kampuni kubwa na Internationall kama hii, na kwa issue ndogo kama hii, ni hatari mno; very dangerous. Ungeweza kuwa sahihi na salama kama ungekuwa umedhulumiwa stahiki zako na kampuni husika. Kwa hili nakushauri usije ukajaribu maisha yako yote. Ni ushauri tu lakini!
 
Unataka hela za bure kubabake njoo tukurudishie kajero kako
 
Hiyo fursa ningepata mm asee ningetusua njoo pm niuZie hiyo soda watu mnapata bahati mnachezea
 
Jins watanzania walivyo na akili fupi hivi mfano huyo jamaa kanywa kafariki hivi mtaongea huo huo utopolo ya kuwa pigen kimya ati kisa kampuni ya kimataifa hivi mmerogwa je nyie watu ndio mana viongozi wenu wanachezea watakavyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Msauzi niliekimbia kwetu aka mr bann
 
Haulipwi hata shilingi na unaweza kudaiwa gharama za kesi. Authority ni kesi ya DONOGHUE vs STEPHENSON kwa sababu chupa ni transparent na unaweza kuchunguza na kuona kilichopo ndani yake
 
Back
Top Bottom