Nimenunua soda iko hivi, je niwashtaki?

Kuhusu kwenda kwenye magazeti Wala asihangaike. Jamma langu alishakuta uchafu kwenye soda, akaenda kwenye gazeti moja la heshima kabisa wakamtolea nje.
Gzeti haliwezi kuandika upuuzi huo halafu likose matangazo kisa njaa ya mtu mmoja.
Kwani bar ukiletewa bia flat unafanyaje?
Si unabadilishiwa halafu ulevi unaendelea....
 
Na ukiifungua tuu ndio huna pakutokea. Hadi hapo hakuna faida unayopata maana bidhaa haijaleta negative impact kwako.

Ata utangaze vipi kibongo bongo iko kitu hakipunguzi matumizi ya wanywaji
 
Hehehe wapi huko au mwaka wa pili chuo wakati unasoma Law of Tort?
Dah we Acha tu, kumbe na wewe ulipitia huko huko eeh, law ni tamu sana ila unatakiwa uwe na case kibao kichwani,.
Kila somo na Case zake, balaaa
 
Dah we Acha tu, kumbe na wewe ulipitia huko huko eeh, law ni tamu sana ila unatakiwa uwe na case kibao kichwani,.
Kila somo na Case zake, balaaa
Lawyers always talk with supporting evidence. Huwezi kuwa na evasive assertions tu Kama mwehu.
 
Huwezi kuthibitisha kua wakati unainunua hiyo soda ilikua na hiyo karatasi ndani,unaweza kugeuziwa wewe hiyo kesi kua unaharibu brand ya kampuni.
 
Mjaze ujinga mwenzako
 
Kwa navyofahamu it's impossible soda kutoka kiwanda Cha coca-cola ikiwa hivyo..otherwise ni sabotage..and if ni sabotage ni rahisi kujua coz utakapofika tu kiwandani Cha kwanza watahakiki if hiyo soda imefunguliwa au lah..if imefunguliwa wataanzia hapo kujua ilifunguliwa wapi na kuweka hiyo karatasi..so if ni wewe ndonumefanya huo mchezo jaribu njia ingine
 
Nawewe umeenda kununua MIRINDA.. umeyataka mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…