Nimenusurika kuambukizwa HIV usiku wa leo, nimekoma

Z kali

Member
Joined
May 25, 2022
Posts
86
Reaction score
159
Habari za humu wakuu

Nilijieka kwa mdada fulan hivi ila hatukudumu Sana mahusiano yakapotea tu ghafla, japo haikuwa kuachana rasmi. (Mimi ni mme na baba wa familia)

Sasa wiki mbili zimepita wife kasafiri kidogo. Nikiwa kwenye mizunguko yangu siku ya J3 na kutana na yule mrembo ambae tuliacha kuwasiliana miez minne Sasa, baada ya salamu na mazungumzo kidogo, tukaachana nikamwambia nitamchek baadae,

Basi ndio ikawa mwanzo wa mawasiliano upya, na vile wife hayupo. Sasa tukakubaliana Ijumaa tuonane niende kwake kula tunda, kifupi ana biashara zake tu Hana shida ndogo ndogo kivile,

Siku imefka, mida ya saa 3 usiku nikamwambia nakuja, akasema sawa ila akanisisitiza lazma niende na vipimo vya HIV Mana ni mda umepita hawez niamin bila kupima, nikaona jambo jema. Bas nikamchek mwangu mmoja Doctor kumuuliza vipimo akasema vipo.

Nikamchek boda boda, mdogo mdogo Hadi kwa mwanangu chukua vipimo, maji, na Kila kitu, mdogo mdogo tena Hadi kwa mdada, Ile nafka tu cha kwanza anauliza Kama nimekumbuka vipimo, nikamwambia bila Shaka.

Zoezi la kupima faster likaanza, anasema ngoja aanze yy kwanza ili akaoge, bas nikamchukua damu nikaeka kwa kipimo, kikaeka maji afu yy akachukua maji akaelekea bafuni kuoga hata hajasubiri kipimo kisome Yan Yuko na confidence tu, na Mimi nikatoa damu nikafanya inavotakiwa.

Aisee! Dakika kadhaa naona kipimo Cha mdada kinasoma HIV POSITIVE, hapo ndo jasho lilipoanza kunimwagika ghafla japo huu mkoa Kuna baridi sana, me kipimo changu kipo fresh, shida ni Cha huyu mdada namwambiaje, atapokeaje, itakuaje? mawazo yamenijaa, nikimbie! Mtu akikutwa na maambukizi si hupewa ushaur nasaha! Itakuaje sasa! Namuonea huruma yule binti ila yy ndo alisisitiza kupima, me nilikuja na salama mfukon, du!

Ile sijamaliza kuwa bint anasukuma mlango anaingia ndan toka bafun, Yuko na kanga moja na ana shape nzur Sana yule dada jaman! Akapitiliza chumban, min nimekaa pale seblen nicjue nn Cha kufanya,

Nikapata wazo la kuficha vipimo, faster nikakusanya vyote nikaweka kwenye kifungashio nikaficha chini ya sofa, namaliza tu mdada anakuja na kanga yake nyepesi kabsa anakaa pale nilipokaa zero distance mnaita, nikajikaza Sana asijue Kama nimechanganyikiwa, tukaanza story za hapa na pale mdada ni mtu wa story Sana, nawaza niage ila moyo unagoma atajua Kuna kitu, katikati ya story mdada ananiulizia vipimo viko wapi? Nikamchanganya kidogo kabla hajamaliza swali nkimuuliza kitu, akaanza kujibu kabla sijajibu swali lake story zikaendelea toa weka lengo asahau kuhusu vipimo,

Story story mdada akaanza kusinzia usingizi ukampitia, aisee! Nikamuamsha tuende kulala chumban, ikawa Ivo

Nikamwambia leo umechoka Sana, akasema ndio Kaz zilikuwa nyingi kwny mishe zake, nikamwambia leo sitak nikuchoshe lala, kesho nitakuja kwa ajili ya show, akasema sawa, akuchewa akalala ucngiz, ***** cjalala kabsa usiku mzma, Hadi saa kumi na moja naamka namuaga huku siamin kilichotokea, nikamwambia usiku wa leo nitaenda kupga show,

Nimeamka chap nikaenda seblen nikachukua kifungashio nilichoficha vipimo nikaeka mfukon, alivokuja akanifungulia get nikaondoka,

Nimerudi home nawaza kilichotokea, hivi situation kama hii ikitokea unafanyaje!? Nishapima wadada kadhaa kabla ya sex ila sikuwahi kumpata muhathirika, yule mdada kaungua ila hajijui masikini, labda ataua bila kukusudia kesho, namsaidiaje? Nimwambie nini? Nashukuru nimepona kwa leo, nimemtumia wife Nauli arudi tu, nyege zitatuua.

NB: Sijawah andika chochote humu ila hili limenilazima kwakweli, hivyo uandishi wangu unaweza usivutie
 
Habar za humu wakuu

Nilijieka kwa mdada fulan ivi ila hatukudumu Sana mahusiano yakapotea tu ghafla, japo haikuwa kuachana rasimi. (Mm ni mme na baba wa familia)

Sasa wiki mbili zimepita wife kasafiri kidogo. nikiwa kwny mizunguko yangu siku ya J3 nakutana na yule mrembo ambae tuliacha kuwasiliana miez mine Sasa, baada ya salamu na mazungumzo kidogo, tukaachana nikamwambia nitamchek badae,

Basi ndo ikawa mwanzo wa mawasiliano upya, na vile wife hayupo. Sasa tukakubaliana ijumaa tuonane niende kwake kula tunda, kifupi ana biashara zake tu Hana shida ndogo ndogo kivile,

Siku imefka, mida ya saa 3 usiku nikamwambia nakuja, akasema sawa ila akanisisitiza lazma niende na vipimo vya HIV Mana ni mda umepita hawez niamin bila kupima, nikaona jambo jema. Bas nikamchek mwangu mmoja Doctor kumuuliza vipimo akasema vipo.

Nikamchek boda boda, mdogo mdogo Hadi kwa mwanangu chukua vipimo, maji, na Kila kitu, mdogo mdogo tena Hadi kwa mdada, Ile nafka tu cha kwanza anauliza Kama nimekumbuka vipimo, nikamwambia bila Shaka.

Zoezi la kupima faster likaanza, anasema ngoja aanze yy kwanza ili akaoge, bas nikamchukua damu nikaeka kwa kipimo, kikaeka maji afu yy akachukua maji akaelekea bafuni kuoga hata hajasubiri kipimo kisome Yan Yuko na confidence tu, na Mimi nikatoa damu nikafanya inavotakiwa.

Aisee! Dakika kadhaa naona kipimo Cha mdada kinasoma HIV POSITIVE, hapo ndo jasho lilipoanza kunimwagika ghafla japo huu mkoa Kuna baridi sana, me kipimo changu kipo fresh, shida ni Cha huyu mdada namwambiaje, atapokeaje, itakuaje? mawazo yamenijaa, nikimbie! Mtu akikutwa na maambukizi si hupewa ushaur nasaha! Itakuaje sasa! Namuonea huruma yule binti ila yy ndo alisisitiza kupima, me nilikuja na salama mfukon, du!

Ile sijamaliza kuwa bint anasukuma mlango anaingia ndan toka bafun, Yuko na kanga moja na ana shape nzur Sana yule dada jaman! Akapitiliza chumban, min nimekaa pale seblen nicjue nn Cha kufanya,

Nikapata wazo la kuficha vipimo, faster nikakusanya vyote nikaweka kwenye kifungashio nikaficha chini ya sofa, namaliza tu mdada anakuja na kanga yake nyepesi kabsa anakaa pale nilipokaa zero distance mnaita, nikajikaza Sana asijue Kama nimechanganyikiwa, tukaanza story za hapa na pale mdada ni mtu wa story Sana, nawaza niage ila moyo unagoma atajua Kuna kitu, katikati ya story mdada ananiulizia vipimo viko wapi? Nikamchanganya kidogo kabla hajamaliza swali nkimuuliza kitu, akaanza kujibu kabla sijajibu swali lake story zikaendelea toa weka lengo asahau kuhusu vipimo,

Story story mdada akaanza kusinzia usingizi ukampitia, aisee! Nikamuamsha tuende kulala chumban, ikawa Ivo

Nikamwambia leo umechoka Sana, akasema ndio Kaz zilikuwa nyingi kwny mishe zake, nikamwambia leo sitak nikuchoshe lala, kesho nitakuja kwa ajili ya show, akasema sawa, akuchewa akalala ucngiz, ***** cjalala kabsa usiku mzma, Hadi saa kumi na moja naamka namuaga huku siamin kilichotokea, nikamwambia usiku wa leo nitaenda kupga show,

Nimeamka chap nikaenda seblen nikachukua kifungashio nilichoficha vipimo nikaeka mfukon, alivokuja akanifungulia get nikaondoka,

Nimerud home nawaza kilichotokea, ivi situation Kama hii ikitokea unafanyaje!? Nishapima wadada kadhaa kabla ya sex ila ckuwah kumpata muhasirika, yule mdada kaungua ila hajijui masikin, labda ataua bila kukusudia kesho, namsaidiaje? Nimwambie nn? Nashukuru nimepona kwa leo, nimemtumia wife Nauli arudi tu, nyege zitatuua,

NB: sijawah andika chochote humu ila hili limenilazima kwakweli, Ivo uandishi wangu unaweza usivutie

Ulitumia kipimo gani?? Mtu hawezi kuwa positive kwa kipimo kimoja!! huwa kuna kipimo cha kuthibitisha!!..

Ndiyo maana haya mazoezi hufanyika vituo vya afya
 
Hongera, umefanya jambo jema sana.

Natumai hukuwa na malezi mabovu kama ya yule mropokaji mwendakuzimu wa burigi

Mwache atakuja kujua tu mwenyewe, kwa vile anapenda kupima kabla ya sex, natumai atajua tu.
 
Habar za humu wakuu

Nilijieka kwa mdada fulan ivi ila hatukudumu Sana mahusiano yakapotea tu ghafla, japo haikuwa kuachana rasimi. (Mm ni mme na baba wa familia)

Sasa wiki mbili zimepita wife kasafiri kidogo. nikiwa kwny mizunguko yangu siku ya J3 nakutana na yule mrembo ambae tuliacha kuwasiliana miez mine Sasa, baada ya salamu na mazungumzo kidogo, tukaachana nikamwambia nitamchek badae,

Basi ndo ikawa mwanzo wa mawasiliano upya, na vile wife hayupo. Sasa tukakubaliana ijumaa tuonane niende kwake kula tunda, kifupi ana biashara zake tu Hana shida ndogo ndogo kivile,

Siku imefka, mida ya saa 3 usiku nikamwambia nakuja, akasema sawa ila akanisisitiza lazma niende na vipimo vya HIV Mana ni mda umepita hawez niamin bila kupima, nikaona jambo jema. Bas nikamchek mwangu mmoja Doctor kumuuliza vipimo akasema vipo.

Nikamchek boda boda, mdogo mdogo Hadi kwa mwanangu chukua vipimo, maji, na Kila kitu, mdogo mdogo tena Hadi kwa mdada, Ile nafka tu cha kwanza anauliza Kama nimekumbuka vipimo, nikamwambia bila Shaka.

Zoezi la kupima faster likaanza, anasema ngoja aanze yy kwanza ili akaoge, bas nikamchukua damu nikaeka kwa kipimo, kikaeka maji afu yy akachukua maji akaelekea bafuni kuoga hata hajasubiri kipimo kisome Yan Yuko na confidence tu, na Mimi nikatoa damu nikafanya inavotakiwa.

Aisee! Dakika kadhaa naona kipimo Cha mdada kinasoma HIV POSITIVE, hapo ndo jasho lilipoanza kunimwagika ghafla japo huu mkoa Kuna baridi sana, me kipimo changu kipo fresh, shida ni Cha huyu mdada namwambiaje, atapokeaje, itakuaje? mawazo yamenijaa, nikimbie! Mtu akikutwa na maambukizi si hupewa ushaur nasaha! Itakuaje sasa! Namuonea huruma yule binti ila yy ndo alisisitiza kupima, me nilikuja na salama mfukon, du!

Ile sijamaliza kuwa bint anasukuma mlango anaingia ndan toka bafun, Yuko na kanga moja na ana shape nzur Sana yule dada jaman! Akapitiliza chumban, min nimekaa pale seblen nicjue nn Cha kufanya,

Nikapata wazo la kuficha vipimo, faster nikakusanya vyote nikaweka kwenye kifungashio nikaficha chini ya sofa, namaliza tu mdada anakuja na kanga yake nyepesi kabsa anakaa pale nilipokaa zero distance mnaita, nikajikaza Sana asijue Kama nimechanganyikiwa, tukaanza story za hapa na pale mdada ni mtu wa story Sana, nawaza niage ila moyo unagoma atajua Kuna kitu, katikati ya story mdada ananiulizia vipimo viko wapi? Nikamchanganya kidogo kabla hajamaliza swali nkimuuliza kitu, akaanza kujibu kabla sijajibu swali lake story zikaendelea toa weka lengo asahau kuhusu vipimo,

Story story mdada akaanza kusinzia usingizi ukampitia, aisee! Nikamuamsha tuende kulala chumban, ikawa Ivo

Nikamwambia leo umechoka Sana, akasema ndio Kaz zilikuwa nyingi kwny mishe zake, nikamwambia leo sitak nikuchoshe lala, kesho nitakuja kwa ajili ya show, akasema sawa, akuchewa akalala ucngiz, ***** cjalala kabsa usiku mzma, Hadi saa kumi na moja naamka namuaga huku siamin kilichotokea, nikamwambia usiku wa leo nitaenda kupga show,

Nimeamka chap nikaenda seblen nikachukua kifungashio nilichoficha vipimo nikaeka mfukon, alivokuja akanifungulia get nikaondoka,

Nimerud home nawaza kilichotokea, ivi situation Kama hii ikitokea unafanyaje!? Nishapima wadada kadhaa kabla ya sex ila ckuwah kumpata muhasirika, yule mdada kaungua ila hajijui masikin, labda ataua bila kukusudia kesho, namsaidiaje? Nimwambie nn? Nashukuru nimepona kwa leo, nimemtumia wife Nauli arudi tu, nyege zitatuua,

NB: sijawah andika chochote humu ila hili limenilazima kwakweli, Ivo uandishi wangu unaweza usivutie
Zinaa ni mbaya., hilo ni angalizo tu utubu mkuu
 
Hapo kuna walakini, mtu hamjaonana siku kibao na amekualika kwake kwa ajili ya 'game' halafu eti mlale naye mpaka asubuhi kitanda kimoja asitake mchezo?....... hii chai!
 
Huu ni uongo mazee, yaani demu mpime wote alafu umdanganye leo et asahau kuangalia majibu, aisee ngum hii.

hii imekataa kuniingia akilini,kwanza lazima angehoji vipimo vimeenda wapi na angehakikiasha anaona vyote viwili. (hii situation huwa ni serious mazee)

kwanza kitendo cha kutovikuta vipimo vilipokuwa waswaw wake ungekuw mkubwa ,kusingeendelea mazungmzo mengine kabla ya kuona matokeo.

imagine tu ww uende hospital alafu mda wa majibu doctor aanze kuongelea simba na yanga kuanzia mwanzo hadi mwsho lazma utajiuliza sana na aman itatoweka
 
Habar za humu wakuu

Nilijieka kwa mdada fulan ivi ila hatukudumu Sana mahusiano yakapotea tu ghafla, japo haikuwa kuachana rasimi. (Mm ni mme na baba wa familia)

Sasa wiki mbili zimepita wife kasafiri kidogo. nikiwa kwny mizunguko yangu siku ya J3 nakutana na yule mrembo ambae tuliacha kuwasiliana miez mine Sasa, baada ya salamu na mazungumzo kidogo, tukaachana nikamwambia nitamchek badae,

Basi ndo ikawa mwanzo wa mawasiliano upya, na vile wife hayupo. Sasa tukakubaliana ijumaa tuonane niende kwake kula tunda, kifupi ana biashara zake tu Hana shida ndogo ndogo kivile,

Siku imefka, mida ya saa 3 usiku nikamwambia nakuja, akasema sawa ila akanisisitiza lazma niende na vipimo vya HIV Mana ni mda umepita hawez niamin bila kupima, nikaona jambo jema. Bas nikamchek mwangu mmoja Doctor kumuuliza vipimo akasema vipo.

Nikamchek boda boda, mdogo mdogo Hadi kwa mwanangu chukua vipimo, maji, na Kila kitu, mdogo mdogo tena Hadi kwa mdada, Ile nafka tu cha kwanza anauliza Kama nimekumbuka vipimo, nikamwambia bila Shaka.

Zoezi la kupima faster likaanza, anasema ngoja aanze yy kwanza ili akaoge, bas nikamchukua damu nikaeka kwa kipimo, kikaeka maji afu yy akachukua maji akaelekea bafuni kuoga hata hajasubiri kipimo kisome Yan Yuko na confidence tu, na Mimi nikatoa damu nikafanya inavotakiwa.

Aisee! Dakika kadhaa naona kipimo Cha mdada kinasoma HIV POSITIVE, hapo ndo jasho lilipoanza kunimwagika ghafla japo huu mkoa Kuna baridi sana, me kipimo changu kipo fresh, shida ni Cha huyu mdada namwambiaje, atapokeaje, itakuaje? mawazo yamenijaa, nikimbie! Mtu akikutwa na maambukizi si hupewa ushaur nasaha! Itakuaje sasa! Namuonea huruma yule binti ila yy ndo alisisitiza kupima, me nilikuja na salama mfukon, du!

Ile sijamaliza kuwa bint anasukuma mlango anaingia ndan toka bafun, Yuko na kanga moja na ana shape nzur Sana yule dada jaman! Akapitiliza chumban, min nimekaa pale seblen nicjue nn Cha kufanya,

Nikapata wazo la kuficha vipimo, faster nikakusanya vyote nikaweka kwenye kifungashio nikaficha chini ya sofa, namaliza tu mdada anakuja na kanga yake nyepesi kabsa anakaa pale nilipokaa zero distance mnaita, nikajikaza Sana asijue Kama nimechanganyikiwa, tukaanza story za hapa na pale mdada ni mtu wa story Sana, nawaza niage ila moyo unagoma atajua Kuna kitu, katikati ya story mdada ananiulizia vipimo viko wapi? Nikamchanganya kidogo kabla hajamaliza swali nkimuuliza kitu, akaanza kujibu kabla sijajibu swali lake story zikaendelea toa weka lengo asahau kuhusu vipimo,

Story story mdada akaanza kusinzia usingizi ukampitia, aisee! Nikamuamsha tuende kulala chumban, ikawa Ivo

Nikamwambia leo umechoka Sana, akasema ndio Kaz zilikuwa nyingi kwny mishe zake, nikamwambia leo sitak nikuchoshe lala, kesho nitakuja kwa ajili ya show, akasema sawa, akuchewa akalala ucngiz, ***** cjalala kabsa usiku mzma, Hadi saa kumi na moja naamka namuaga huku siamin kilichotokea, nikamwambia usiku wa leo nitaenda kupga show,

Nimeamka chap nikaenda seblen nikachukua kifungashio nilichoficha vipimo nikaeka mfukon, alivokuja akanifungulia get nikaondoka,

Nimerud home nawaza kilichotokea, ivi situation Kama hii ikitokea unafanyaje!? Nishapima wadada kadhaa kabla ya sex ila ckuwah kumpata muhasirika, yule mdada kaungua ila hajijui masikin, labda ataua bila kukusudia kesho, namsaidiaje? Nimwambie nn? Nashukuru nimepona kwa leo, nimemtumia wife Nauli arudi tu, nyege zitatuua,

NB: sijawah andika chochote humu ila hili limenilazima kwakweli, Ivo uandishi wangu unaweza usivutie
Hii chai wallah tena
 
Hapo kuna walakini, mtu hamjaonana siku kibao na amekualika kwake kwa ajili ya 'game' halafu eti mlale naye mpaka asubuhi kitanda kimoja asitake mchezo?....... hii chai!
Acheni hizo nyie wajuaji wa JF, mtu kaandika testimony yake alivyonusurika kula muathirika nyie mnaita chai. Mnaboa.

Okay tufanye kua hiyo ni chai, je kuna faida gani mtoa mada anaipata kwa kuleta thread kama hii hapa jukwaani?

Man up bro and grow some balls unatakiwa umpongeze mwanaume mwenzako kwa kuvikwepa vishawishi vya kummega huyo binti ikiwa wamelala kitanda kimoja mpaka asubuhi...
 
Habar za humu wakuu

Nilijieka kwa mdada fulan ivi ila hatukudumu Sana mahusiano yakapotea tu ghafla, japo haikuwa kuachana rasimi. (Mm ni mme na baba wa familia)

Sasa wiki mbili zimepita wife kasafiri kidogo. nikiwa kwny mizunguko yangu siku ya J3 nakutana na yule mrembo ambae tuliacha kuwasiliana miez mine Sasa, baada ya salamu na mazungumzo kidogo, tukaachana nikamwambia nitamchek badae,

Basi ndo ikawa mwanzo wa mawasiliano upya, na vile wife hayupo. Sasa tukakubaliana ijumaa tuonane niende kwake kula tunda, kifupi ana biashara zake tu Hana shida ndogo ndogo kivile,

Siku imefka, mida ya saa 3 usiku nikamwambia nakuja, akasema sawa ila akanisisitiza lazma niende na vipimo vya HIV Mana ni mda umepita hawez niamin bila kupima, nikaona jambo jema. Bas nikamchek mwangu mmoja Doctor kumuuliza vipimo akasema vipo.

Nikamchek boda boda, mdogo mdogo Hadi kwa mwanangu chukua vipimo, maji, na Kila kitu, mdogo mdogo tena Hadi kwa mdada, Ile nafka tu cha kwanza anauliza Kama nimekumbuka vipimo, nikamwambia bila Shaka.

Zoezi la kupima faster likaanza, anasema ngoja aanze yy kwanza ili akaoge, bas nikamchukua damu nikaeka kwa kipimo, kikaeka maji afu yy akachukua maji akaelekea bafuni kuoga hata hajasubiri kipimo kisome Yan Yuko na confidence tu, na Mimi nikatoa damu nikafanya inavotakiwa.

Aisee! Dakika kadhaa naona kipimo Cha mdada kinasoma HIV POSITIVE, hapo ndo jasho lilipoanza kunimwagika ghafla japo huu mkoa Kuna baridi sana, me kipimo changu kipo fresh, shida ni Cha huyu mdada namwambiaje, atapokeaje, itakuaje? mawazo yamenijaa, nikimbie! Mtu akikutwa na maambukizi si hupewa ushaur nasaha! Itakuaje sasa! Namuonea huruma yule binti ila yy ndo alisisitiza kupima, me nilikuja na salama mfukon, du!

Ile sijamaliza kuwa bint anasukuma mlango anaingia ndan toka bafun, Yuko na kanga moja na ana shape nzur Sana yule dada jaman! Akapitiliza chumban, min nimekaa pale seblen nicjue nn Cha kufanya,

Nikapata wazo la kuficha vipimo, faster nikakusanya vyote nikaweka kwenye kifungashio nikaficha chini ya sofa, namaliza tu mdada anakuja na kanga yake nyepesi kabsa anakaa pale nilipokaa zero distance mnaita, nikajikaza Sana asijue Kama nimechanganyikiwa, tukaanza story za hapa na pale mdada ni mtu wa story Sana, nawaza niage ila moyo unagoma atajua Kuna kitu, katikati ya story mdada ananiulizia vipimo viko wapi? Nikamchanganya kidogo kabla hajamaliza swali nkimuuliza kitu, akaanza kujibu kabla sijajibu swali lake story zikaendelea toa weka lengo asahau kuhusu vipimo,

Story story mdada akaanza kusinzia usingizi ukampitia, aisee! Nikamuamsha tuende kulala chumban, ikawa Ivo

Nikamwambia leo umechoka Sana, akasema ndio Kaz zilikuwa nyingi kwny mishe zake, nikamwambia leo sitak nikuchoshe lala, kesho nitakuja kwa ajili ya show, akasema sawa, akuchewa akalala ucngiz, ***** cjalala kabsa usiku mzma, Hadi saa kumi na moja naamka namuaga huku siamin kilichotokea, nikamwambia usiku wa leo nitaenda kupga show,

Nimeamka chap nikaenda seblen nikachukua kifungashio nilichoficha vipimo nikaeka mfukon, alivokuja akanifungulia get nikaondoka,

Nimerud home nawaza kilichotokea, ivi situation Kama hii ikitokea unafanyaje!? Nishapima wadada kadhaa kabla ya sex ila ckuwah kumpata muhasirika, yule mdada kaungua ila hajijui masikin, labda ataua bila kukusudia kesho, namsaidiaje? Nimwambie nn? Nashukuru nimepona kwa leo, nimemtumia wife Nauli arudi tu, nyege zitatuua,

NB: sijawah andika chochote humu ila hili limenilazima kwakweli, Ivo uandishi wangu unaweza usivutie
Oya mzee nilenmie huyo mrembo kama weye waogooa ngoma....sii umesema tako analo
 
mkuu umesahau kutiliamo sukari ...
JamiiForums-1886462678.jpg
 
Wife akirudi nae usikose kumpima! One mistake one goal!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom