Nimenusurika kufa jana

Nimenusurika kufa jana

Still now upo hvo hvo mkuu...
๐Ÿ˜„๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Yaan nisipopiga simu wiki moja home....

Yaani watapigiwa ndugu zangu huyo veep huko mzima kweli?

Ila nipo humbled man.....

Nakumbuka form one nshawah jinyoa kwa hizi shevaa kichwani basi nywele kesho yake hazielewek......

Anakuja Ticha mmoja akanikazia macho kweli baada ya wengine kutawanyika akasema nibaki.....

Sasa eeh mbona kichwani kama umenyofolewa nyofolewa Mimi sasa....

Niliamka nikajikuta hivyo.....

Una uhakika...... Najibu ndiyo

Pigwa maswali kadhaa baadae anakuja mlinzi....... Maake nilikuwa famous sana huyu dogo kafanya nini ?

Waalimu kanyolewa na wachawii usiku......

Mlinzi yule asivyojua kuwa na kaba..... Khee Hawa niliwaona wananyoana jumamosi mbona ?

wakashutka khaa! wamuamini nani Mimi au mlinzi....... Nikiulizwa msimamo ni uchawi umehusika ๐Ÿ˜‚

Basi nikaambiwa ili tukuache twende tukaone matokeo maake tulikuwa tushafanya mitihani ya nusu muhula eeh bhn nilikuwa nimefanya vizuri tuu ..... ukizingatia kipindi tunasoma ukiwa top ten..... unaonekana una akili ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Basi nikapongezwa hapo kumbe akili zimo ๐Ÿ˜‚ wakanipa pesa ya kunyoa, rimu paper kiasi....... Hivyo aaani

Ila am humbled man indeed ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Š
 
Ndo upunguze misamba kijana ona sasa hela umpe bado akutangulize akhera, alafu sku hz show zinafanyiwa ghetto sio lodge au umetulizana na jimama moja?
 
Yaan nisipopiga simu wiki moja home....

Yaani watapigiwa ndugu zangu huyo veep huko mzima kweli?

Ila nipo humbled man.....

Nakumbuka form one nshawah jinyoa kwa hizi shevaa kichwani basi nywele kesho yake hazielewek......

Anakuja Ticha mmoja akanikazia macho kweli baada ya wengine kutawanyika akasema nibaki.....

Sasa eeh mbona kichwani kama umenyofolewa nyofolewa Mimi sasa....

Niliamka nikajikuta hivyo.....

Una uhakika...... Najibu ndiyo

Pigwa maswali kadhaa baadae anakuja mlinzi....... Maake nilikuwa famous sana huyu dogo kafanya nini ?

Waalimu kanyolewa na wachawii usiku......

Mlinzi yule asivyojua kuwa na kaba..... Khee Hawa niliwaona wananyoana jumamosi mbona ?

wakashutka khaa! wamuamini nani Mimi au mlinzi....... Nikiulizwa msimamo ni uchawi umehusika ๐Ÿ˜‚

Basi nikaambiwa ili tukuache twende tukaone matokeo maake tulikuwa tushafanya mitihani ya nusu muhula eeh bhn nilikuwa nimefanya vizuri tuu ..... ukizingatia kipindi tunasoma ukiwa top ten..... unaonekana una akili ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Basi nikapongezwa hapo kumbe akili zimo ๐Ÿ˜‚ wakanipa pesa ya kunyoa, rimu paper kiasi....... Hivyo aaani

Ila am humbled man indeed ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Š
Naham sana leo mpaka nahisi kinyeo kinabwinya bwinya
 
HIcho kisa chako kinahusiana vipi na Mungu? Kwamba waliokufa wao hawakuamini kama Mungu yupo?
Kifo ni kifo tu na ipo siku isiyo na jina utakufa my friend.
My friend there people in here jf do not believe in God..
I imagine at that experience you can belive is around
 
Mie Toka ninusurike kuchukuliwa na chunusi pale osterbay beach mwaka 1990.Nikajua Kuna mstari mwembamba sana kati ya ardhi na mbinguni.ilikuwa Chrismas
Wewe kuna hali ulipitia ambayo kusimulia haiwez kani ila unabaki unashangaa tuu watu ambao wanasema hakuna MUNGU
 
Sasa Mungu kahusikqje hapo mkuu? Maana uzembe wenu wawili sioni mahali Mungu amehusika, kingine kifo tunacho, if not now then later....hakuna wa kukunusuru na kifo hata mmoja, when it's due time unaondoka bila kujali Mungu yupo au hayupo.
 
Mkuu ukiwa na madhambi mengi kuna kitu lazima uogope ikiwepo kifo...

Mda napitia ile hali mkuu nilitaja majina yote aiseeee ila wapi...
 
Back
Top Bottom