Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Yaan nisipopiga simu wiki moja home....Still now upo hvo hvo mkuu...
๐๐๐
Yaani watapigiwa ndugu zangu huyo veep huko mzima kweli?
Ila nipo humbled man.....
Nakumbuka form one nshawah jinyoa kwa hizi shevaa kichwani basi nywele kesho yake hazielewek......
Anakuja Ticha mmoja akanikazia macho kweli baada ya wengine kutawanyika akasema nibaki.....
Sasa eeh mbona kichwani kama umenyofolewa nyofolewa Mimi sasa....
Niliamka nikajikuta hivyo.....
Una uhakika...... Najibu ndiyo
Pigwa maswali kadhaa baadae anakuja mlinzi....... Maake nilikuwa famous sana huyu dogo kafanya nini ?
Waalimu kanyolewa na wachawii usiku......
Mlinzi yule asivyojua kuwa na kaba..... Khee Hawa niliwaona wananyoana jumamosi mbona ?
wakashutka khaa! wamuamini nani Mimi au mlinzi....... Nikiulizwa msimamo ni uchawi umehusika ๐
Basi nikaambiwa ili tukuache twende tukaone matokeo maake tulikuwa tushafanya mitihani ya nusu muhula eeh bhn nilikuwa nimefanya vizuri tuu ..... ukizingatia kipindi tunasoma ukiwa top ten..... unaonekana una akili ๐๐
Basi nikapongezwa hapo kumbe akili zimo ๐ wakanipa pesa ya kunyoa, rimu paper kiasi....... Hivyo aaani
Ila am humbled man indeed ๐๐