Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Wamama Tena ? How old are you 😂 sorry for asking.......Yaani mkuu kuna wamama wengine jau sana et anasema kwa kuwa nililala akaona shida kuniamsha...
Alafu nilivoamka niliwasha moto mpaka majirani walitoka nje
Mkuu net inaleta joto ujue.Una kazi kweli kweli 😂..... Tupe visa..
Mimi mlango nafunga haujawahi kuwa wazi hata dk moja.....
Jitahd hivyo lkn wengi mtasema joto....
Lkn neti ni nzuri Mr brain
Above 24 mkuu ...Wamama Tena ? How old are you 😂 sorry for asking.......
Mkuu nusu nusu aiseee acha kabisa..Ukamhukumu mtoto wa watu kataka kukuua makusudi asingizie bahati mbaya. Dont be judgemental
Nadhani ungetuambia ulichoona wakati unapitia huo mchakato. hata haujazimia mkuu, 😀. Pole lakini
Aisee, huyo mwanamke achana naye haraka sana atakuja kukutoa roho. Hapo alidhamiria kukuua! Tumekuwa tukiwasakama sana single mother hebu tupe uzoefu na huyo ni single mother? Yaani mimi hii tabia ya kuchepuka nikifika hapo ndipo inanishinda, yaani ukaokoteze li mtu huko barabarani halafu uje ulale nalo ndani kwako? Hapana aisee!Jamanii weee mbona nimeelekeza vzri..
Mtu nimelala nae ndani mida kama ya usiku mi nimelala nastuka nakutana na hiyo hali na nipo ndani peke angu..
Kuangaika kufungua mlango nakuta umefungwa kwa nje nakazama uvunguni.
Badae anakuja kufungua anasema alikua chooni ndo mana akafunga mlango.
Na alipulizia dawa maana anasema kulikua na mbu alishindwa kupata usingizi
Nop unakaa ndani ya nyumba yenye geti usiku unasogeza tuu mapaziaMkuu net inaleta joto ujue.
Yaani ukiwa na gheto na gesi ipo.humo humo plass haya madawa oaaa weee
Are age mates..... au umenizid kidogo sasa mwanangu sikia hao wamama kwanza ni wasafi ? Pili usalama wako unahakikisha vipi km hivyo?Above 24 mkuu ...
Wamamd ndio mana ni mkubwa na ni mteja wangu
Wee nilisema sito pingana na comments zako mkuu..Hiyo ni dawa ya kuua wadudu haiui binadamu
Dawa ya Mbu jau sana Mimi mwenyewe nilishanusurika kukata upepo.Mkuu ishu ni dawa ya mbuu ulitaka kunitoa uhai ooooh weww sema hiv hv mi poor ila yakikudaka aaaah utakubali
Mkuu huyu ni mmama tuu ambaye nilikua namazoea nae kule kazini..Aisee, huyo mwanamke achana naye haraka sana atakuja kujitoa roho. Hapo alidhamiria kukuua! Tumekuwa tukiwasakama sana single mother hebu tupe uzoefu na huyo ni single mother? Yaani mimi hii tabia ya kuchepuka nikifika hapo ndipo inanishinda, yaani ukaokoteze li mtu huko barabarani halafu ujesio ulale nalo ndani kwako? Hapana aisee!
Mkuu mi ghetto langu lipo complex zaidi ya life cycle ya plasmodiumNop unakaa ndani ya nyumba yenye geti usiku unasogeza tuu mapazia
Ni smart kichwani n msafi sijui nini kilimkuta aiseee...Seems we
Are age mates..... au umenizid kidogo sasa mwanangu sikia hao wamama kwanza ni wasafi ? Pili usalama wako unahakikisha vipi km hivyo?
Nijuavyo demu siku zote ugenini km choo Cha nje ataomba umsindkze au ukae attention ili aende washroom!
Kibaya Hana ile haya ya kuuliza babe mbu wengi nipulize dawa yeye kaamka tuu..... Ungekufa ? Ungezimia ?
Kaa makini Kuna mwenzio kalia humu makalio yake yanapigwa picha ...... Huyo ataja akuibie
Kuwa makini 😂
Pole mkuuDawa ya Mbu jau sana Mimi mwenyewe nilishanusurika kukata upepo.
Nakumbuka wakati nipo Chuo kuna siku nimerudi home nimechoka ile mbaya. Kulala na Neti siwezi kabisa, nikachoma ile dawa ya Mbu ya coil.
Nikalala kws sababu nilikuwa nimechoka sana nikawa nimelala huku nimejiachia sana mto wa kulalia ukadondoka chini karibu na ile dawa ya Mbu, ile pillow ikaanza kuungua na mimi nipo usingizini huku nakohoa bila kujitambua.
Watu wamekuja kuvunja mlango wakanitoa nje niko hoi nimeshakohoa non stop na macho yamevimba, mbavu na kifua vinauma sana.
Ntakutafutia amoeba😂Mkuu mi ghetto langu lipo complex zaidi ya life cycle ya plasmodium
Aache uongo asije kukuuaNi smart kichwani n msafi sijui nini kilimkuta aiseee...
Anasema kwake anauwezo wa kupulizia vzr tii bila hata ya wao kutoka njee.
Ishu kwann alifunga mlango
Duuuh sasa wewe hyo ilikua hatareee nyingine tena wewe ni danger bora hata mm maana wewe mule ndani kulikua na moshi (carbon dioxide) hapoDawa ya Mbu jau sana Mimi mwenyewe nilishanusurika kukata upepo.
Nakumbuka wakati nipo Chuo kuna siku nimerudi home nimechoka ile mbaya. Kulala na Neti siwezi kabisa, nikachoma ile dawa ya Mbu ya coil.
Nikalala kws sababu nilikuwa nimechoka sana nikawa nimelala huku nimejiachia sana mto wa kulalia ukadondoka chini karibu na ile dawa ya Mbu, ile pillow ikaanza kuungua na mimi nipo usingizini huku nakohoa bila kujitambua.
Watu wamekuja kuvunja mlango wakanitoa nje niko hoi nimeshakohoa non stop na macho yamevimba, mbavu na kifua vinauma sana.
Wee jau kumbe ahahah yaani purukushci za usiku hukusikia hata..Pole mkuu
Mimi ni nje na dawa ya mbu
Ilikuwa mshumaa...... Nyumbn kipindi hiko umeme hamna umekata.....
Ule mshumaa ulikuwa kwenye meza japo ulkuwa unaishilia ishilia afu nilikuwa na Faza.....
Mm nshalala mapema nikijua nipo na strongest man ....... Sasa naye kapitiwa na usingz
Mshumaa saa ngp haujashika vitu vilivyokuwa pale.....
Mimi naamka asubuhii nakuta chumba vitu vimeungua..... Kumbe usiku maza alikuwa mzazi so kashutka kaja fasta mzee kukurupuka moto....
Asubuhii nahadithiwa niliogopa kinoma
Mkuu acha tuu..Ntakutafutia amoeba😂