Nimenusurika kufa jana

Nimenusurika kufa jana

Kuna panda alijificha ndani tafuta tafuta na wewe nikamuambia wife kanunue rungu,akaleta fasta nikafunga milango ziba kila uwazi kisha nikapuliza ya kutosha tukakaa nje,dk 3 nyingi tukasikia panda inagonga mlango kwa ndani ifunguliwe itoke!...siyo poa
Mkuu nakwambiaje hawa viumbe mbuu tuna waonea sana ile dawa hapana kwa kweli sio ya kusema tupulizie kwa mbu mana daah so poa kabisa
 
Kabla ya kutumia dawa yoyote ile Kama hizo za kupuliza, ni vyema Sana usome kwanza maelekezo yake yote juu ya namna ya matumizi yake sahihi. Ni hatari kubwa sana kutumia dawa yoyote ile bila kujua namna ya matumizi yake sahihi kwanza. Ni hatari sana.!
Baadhi ya dawa hugeuka kuwa sumu hatari endapo kama utakosea namna ya matumizi yake.
Are you aware about Perfume Poisoning or Air Poisoning?
Be very careful!
Mkuu mimi nililala sasa tatizo mi naelewa vzr tuu
 
Mkuu ile show sio poa..
Mda huo dirisha lilikua wazi mkuu
Mbona mkuu huelezi vizuri ukaeleweka? Yaani ulikuwa umelala ndani yeye akaja kuulizia dawa ya HIT ili iweje? Halafu akafunga mlango na ufunguo? Mbona haikai akilini? Ina maana una mchepuko wa kipuuzi namna hiyo usiojua matumizi ya dawa za kuangamiza viroboto na wadudu wote wanaotambaa? Hawa wanawake mnawaokota wapi jamani?
 
Mbona mkuu huelezi vizuri ukaeleweka? Yaani ulikuwa umelala ndani yeye akaja kuulizia dawa ya HIT ili iweje? Halafu akafunga mlango na ufunguo? Mbona haikai akilini? Ina maana una mchepuko wa kipuuzi namna hiyo usiojua matumizi ya dawa za kuangamiza viroboto na wadudu wote wanaotambaa? Hawa wanawake mnawaokota wapi jamani?
Jamanii weee mbona nimeelekeza vzri..
Mtu nimelala nae ndani mida kama ya usiku mi nimelala nastuka nakutana na hiyo hali na nipo ndani peke angu..

Kuangaika kufungua mlango nakuta umefungwa kwa nje nakazama uvunguni.

Badae anakuja kufungua anasema alikua chooni ndo mana akafunga mlango.
Na alipulizia dawa maana anasema kulikua na mbu alishindwa kupata usingizi
 
Sasa hapo huoni level ya oksijeni ilikuwa kidogo ndo maana ukahisi kuchoka mzee.....

Sumu ikiingia nyingi. Hata haemoglobin zinashindwa ku carry oxygen na kufanya reaction na sumu iliyo ingia mwilini
Ewaaa sawa sawa mkuu ishu ni kwanini nilihisi kiu hii ipoje...

Maana kuchoka sometimes hata kama ukichoma jiko la mkaa ile CO jau sana ikiwa ina react na O ya hewa..

Sasa tukio la jana ile koo kuwasha na kupaliwa imekaaje an kuna mechanisms gani ya mtu kuhusu kiu vile
 
Back
Top Bottom