Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #61
Asante mkuu..Pole mkuu Poor Brain
Pia kuna la kujifunza hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu..Pole mkuu Poor Brain
Mkuu una undygu na d voice auChai
Mkuu hali ilikua tete ujueSijacheka kwakua kakosea, mimi najua hajakosea ila kaandika kwa dhumuni la kuchekesha, ndo kilichonichekesha hiyo soul removaler ilivyotajwa😂
Kuna hali ukikutana nayo ndio itakufanya uamini Mungu yupo mkuuStori za mungu vipi tenà , kwani ukiwa mfia dini ndo hufi au? Mana naona unakomalia eti akina flani msiomjua mungu, kufa utakufa tu , kifo ni kifo
Umeongea nn mkuu hapa 😄😄😄Alitaka tu ufe au ulale akapigwe miti chooni na wahuni wa hapo mtaani kwenu. Bado unaye huyu demu, mpige chini mara moja akaue wengine huko mbeleni.
Mkuu nakwambiaje hawa viumbe mbuu tuna waonea sana ile dawa hapana kwa kweli sio ya kusema tupulizie kwa mbu mana daah so poa kabisaKuna panda alijificha ndani tafuta tafuta na wewe nikamuambia wife kanunue rungu,akaleta fasta nikafunga milango ziba kila uwazi kisha nikapuliza ya kutosha tukakaa nje,dk 3 nyingi tukasikia panda inagonga mlango kwa ndani ifunguliwe itoke!...siyo poa
Yeah yeah nafahamu, unakufa huku unajiona😂..Mkuu hali ilikua tete ujue
Mkuu nimejibu hiliChimba chako hakina dilisha?
Mkuu assume mi nililala nimestuka najikuta nina jasho tuuMi uwa navaa barakoa ndo napuliza
Mkuu kuna siku nilikuta chura alafu alikua analia toka usiku ila nikawa najua yupo.kwa njeee...Pole sana mkuu ila usiombe siku uone nyoka ndani alafu apoteee
Mkuu mimi nililala sasa tatizo mi naelewa vzr tuuKabla ya kutumia dawa yoyote ile Kama hizo za kupuliza, ni vyema Sana usome kwanza maelekezo yake yote juu ya namna ya matumizi yake sahihi. Ni hatari kubwa sana kutumia dawa yoyote ile bila kujua namna ya matumizi yake sahihi kwanza. Ni hatari sana.!
Baadhi ya dawa hugeuka kuwa sumu hatari endapo kama utakosea namna ya matumizi yake.
Are you aware about Perfume Poisoning or Air Poisoning?
Be very careful!
Madamu niwie radhi bana...Labda anaishi kwenye handaki.
Mbona mkuu huelezi vizuri ukaeleweka? Yaani ulikuwa umelala ndani yeye akaja kuulizia dawa ya HIT ili iweje? Halafu akafunga mlango na ufunguo? Mbona haikai akilini? Ina maana una mchepuko wa kipuuzi namna hiyo usiojua matumizi ya dawa za kuangamiza viroboto na wadudu wote wanaotambaa? Hawa wanawake mnawaokota wapi jamani?Mkuu ile show sio poa..
Mda huo dirisha lilikua wazi mkuu
Si ndo kufa huko mkuu.Hii nimeiona kwa waturuki,wale jamaa wanapenda pili pili,ukiwa jikoni wanapika chakula mixer pili pili unakohoa na jikoni unakimbia ila wenyewe wapo poa tu
Sasa hapo huoni level ya oksijeni ilikuwa kidogo ndo maana ukahisi kuchoka mzee.....Dactar hii kitaalamu ipoje nilikua nahisi kiu yanii sijui kiu kile aiseee
Sijawai mkuuWewe ushawahi kupuliziwa ile dawa.mkuu au unazani kufa ni simple hvo et
Jamanii weee mbona nimeelekeza vzri..Mbona mkuu huelezi vizuri ukaeleweka? Yaani ulikuwa umelala ndani yeye akaja kuulizia dawa ya HIT ili iweje? Halafu akafunga mlango na ufunguo? Mbona haikai akilini? Ina maana una mchepuko wa kipuuzi namna hiyo usiojua matumizi ya dawa za kuangamiza viroboto na wadudu wote wanaotambaa? Hawa wanawake mnawaokota wapi jamani?
Mimi. Net fresh tuu nalala nimechanua miguu mbupu zipate hewa maake usumbufu wa mbu stakiiChandarua ni mambo ya kizamani..
Wanaotumia vyandarua jua wanataka kuwa ma pilot mkuu
Ewaaa sawa sawa mkuu ishu ni kwanini nilihisi kiu hii ipoje...Sasa hapo huoni level ya oksijeni ilikuwa kidogo ndo maana ukahisi kuchoka mzee.....
Sumu ikiingia nyingi. Hata haemoglobin zinashindwa ku carry oxygen na kufanya reaction na sumu iliyo ingia mwilini
Fanya ujaribu siku moja mkuu mambo simple tuu hayaSijawai mkuu