Nimenusurika kufa jana

Nimenusurika kufa jana

niko poa ila uache ..................... utakuja kufa tukukose bure bado tunakuhitaji
Nafurahi kusikia hivo kama bado nahitajika..
Kwa sasa nimejifunza kitu kuwa ni bora kua muwazi kwa mwenzako ili ajue matumizi ya vtu mbali mbali..

Nje ya mada dada naweza kuuliza jmbo
 
Hiyo Hits dawa Gani inanunukia hivyo!! Mm nikiipuliziaga geto naona kama mende na mbu wanashangilia hawafi kabisa.
 
Unabahati ingekuwa Rungu ungetoa sababu kwanin usife leo
 
Hata maelekezo husomi Mzee baba?, hayo madude hupulizwa ndani au tuseme chumbani kukiwa hamna mtu na uwe umefunga madirisha na milango yote husika ya hicho chumba, after 15 minutes unaingia zako ndani, it's very simple.
 
Huyu mshamba alitaka kunitoa roho mkuu wangu
 
Back
Top Bottom