Hali zenu?
Jamani mwenzenu mume wangu sujawahi mchiti ila yeye nishamfumania mara kadhaa tu.
Basi na mimi nkaamua kuchat na kijana tu yupo nje ya nchi wala sipo in relationship naye ilikua tunachat mambo ya sex tu ila si mpenzi wangu wala chochote na ni mara ya kwanza kuongea na jinsia ya kiume tokea niolewe miaka 8.
Basi akanishtukia alivyokuja kuchungulia simu nikafunga mbio simu hapo sasa ndo akashtukia, ila nikagoma kutoa password nikamjibu ni sis wangu tuna mambo yetu hayakuhusu.
Akaniacha ila hajaamini hadi sasa haniongeleshi. Je, na wewe ushawahi kunusurika dakika za mwisho? na yule kijana nishamblock sirudii tena.