Nimenusurika kufumwa dakika za mwisho

Mimi kuna watu siwaelewi kabisa,mnazinguana na mtu wako unakuja jf unamwaga upupu wako hapa,una uhakika gani kama huyo mtu wako hayumo humu,na mbaya zaidi unaandika bila konakona vipi akiwemo humu huoni unakua umejikamatisha mwenyewe?
 
Pole hiyo ni warning sign.. Ameshakuweka kwenye shaka
 
Mumeo ni mstaarabu sana na umemuonea eeh? Yaani ashtukie kitu na akuombe password ukatae kutoa aki mimi ni mdada ila ningekua ndiye mumeo hiyo password ungetoa kwa hayo mabanzi(makonzi) ungekula, why usitulie na ndoa yako unajitafutia kuachwa buree😏😏
 
Umeishamkaribisha shetani nafsini. Yaani sasa ndiyo utafungulia kuchat na upande wa pili masuala myenduano, maana ushaona raha yake. Hapo utazidisha mbinu za kutokushtukiwa na mumeo...ukijashtuka umegraduate kutoka kuchat kuingia kwenye mnyanduano wenyewe.
 
Hahahah we mwanamke wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamani yeye simu zake zote hanipi passwords na nishamfuma mara nyingi tu,ilikua ni shetani tu na nlichat nae as friends only, halafu jana kanijia ghafla kanipokonya simu kaipekura Kote hajakuta kitu
 
Pole hiyo ni warning sign.. Ameshakuweka kwenye shaka
Ndio lakini sisi waislam kama kuna picha za my sisters bila kujistiri haifai yeye azione,ndo nkamwambia siwezi kufungua ukamuona my sisi wazi na Ana mume wake , akaamini na jana kanivizia kapokonya simu kaichunguza Kote bahati nzuri kaona bado nachat na sis hata jana akanirudishia simu yangu hajasema kitu.
 
Nyang'au kabisa tena kwa kidogo hicho hicho nakuombea ndoa ivunjike
 
Nyang'au kabisa tena kwa kidogo hicho hicho nakuombea ndoa ivunjike
Mbona yeye anachat hadi na mashoga anaomba number zao, mie iyo kuchat na mtu hana sina ni ya kutoka nae ndo kesi ya hivo jamani
 
Hebu fikiria unaachwa kisa unachat na mtu tu hata hamjakutana hata hamjafanya. Acha kuwa mjinga.
Kwani mwisho wa hizo chat si ilikuwa anagongwa tu. Huyo kijana wangechat nae na siku angerudi tu nyumbani vingeumana
 
Ustaarabu au ujinga tu, leo kaanza hivvyo mwanaume umenuna, kesho atanyanduliwa mwaume utazira kumnyandua hapo hakuna issue.

Binafsi ningemtight mpaka atoe password na huo mziki wake sio wa kitoto lazima angeomba msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…