GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 1,001
- 704
Nina hakika huyo mume wake angejulikana kama yumo humu na yeye angedondoshewa nyundo.Leo nimejifunza kumbe wengi hatuthamini HISIA na utu wa mwanamke.
Mwenye makosa hasemwi lakini asiye na kosa anatukanwa kweli kweli.
Ipo siku wanawake wa nchi hii watashtuka...wanaume tutateseka sana
Lakini huyu dada amebezwa na kejeli nyingi sanaNina hakika huyo mume wake angejulikana kama yumo humu na yeye angedondoshewa nyundo.
Hakuna mume hapo#unaanzaje kuninyima password ya simu yako na tunalala kitanda kimoja.Mumeo ni mstaarabu sana na umemuonea eeh? Yaani ashtukie kitu na akuombe password ukatae kutoa aki mimi ni mdada ila ningekua ndiye mumeo hiyo password ungetoa kwa hayo mabanzi(makonzi) ungekula, why usitulie na ndoa yako unajitafutia kuachwa bureeππ
Huyu ni mwanamke mwenye maumbile ya kiume muache uende Kwa huyo unayechati naye.Jamani yeye simu zake zote hanipi passwords na nishamfuma mara nyingi tu,ilikua ni shetani tu na nlichat nae as friends only, halafu jana kanijia ghafla kanipokonya simu kaipekura Kote hajakuta kitu
Ni ushahidi tosha wanaume tunavyoogopa kugongewaπLkn huyu dada amebezwa na kejeli nyingi sana
Extrove anajua hili sema asikukule kimasiharokochocho πNdoa ni dudu moja dogorasi.By padri's voice
Trust me, halijaisha...na litakughalimu pakubwa kwenye ndoa yako. Kama sio muda huu basia kwa muda unaokuja.Jamani yeye simu zake zote hanipi passwords na nishamfuma mara nyingi tu,ilikua ni shetani tu na nlichat nae as friends only, halafu jana kanijia ghafla kanipokonya simu kaipekura Kote hajakuta kitu
Aisee!Sasa yeye anachepuka kwanini akupangie maisha, dah wewe fanya kitu roho yako inapenda bana,Mimi na wangu marufuku kugusana simu Wala kufatiliana kila mtu afanye atakalo.
Mimi nilimuonya asiingie FB....hakunisikiliza...akajiunga...baada ya siku chache alirushiwa picha ya DUSHE...akanionesha eti kumbe huku ndio kuko hivi?Hali zenu?
Jamani mwenzenu mume wangu sujawahi mchiti ila yeye nishamfumania mara kadhaa tu.
Basi na mimi nkaamua kuchat na kijana tu yupo nje ya nchi wala sipo in relationship naye ilikua tunachat mambo ya sex tu ila si mpenzi wangu wala chochote na ni mara ya kwanza kiongea na jinsia ya kiume tokea niolewe miaka 8.
Basi akanishtukia alivokuja kuchungulia simu nikafunga mbio simu hapo sasa ndo akashtukia, ila nikagoma kutoa password nkamjibu ni sis wangu tuna mambo yetu hayakuhusu.
Akaniacha ila hajaamini hadi sasa haniongeleshi. Je na wewe ushawahi kunusurika dakika za mwisho? na yule kijana nishamblock sirudii tena.
No,yule nampa tu mbonaExtrove anajua hili sema asikukule kimasiharokochocho π
Wampa tu aseeee nipe na mimi zamu yangu Jumapili.πNo,yule nampa tu mbona
Ewaaaaaah.Tena hamna kugombana gombana hivi
Subiri niombe ruhusa bhanaWampa tu aseeee nipe na mimi zamu yangu Jumapili.π
πππSubiri niombe ruhusa bhana
Kumbe ndio sababu umeniblock eeehHali zenu?
Jamani mwenzenu mume wangu sujawahi mchiti ila yeye nishamfumania mara kadhaa tu.
Basi na mimi nkaamua kuchat na kijana tu yupo nje ya nchi wala sipo in relationship naye ilikua tunachat mambo ya sex tu ila si mpenzi wangu wala chochote na ni mara ya kwanza kiongea na jinsia ya kiume tokea niolewe miaka 8.
Basi akanishtukia alivokuja kuchungulia simu nikafunga mbio simu hapo sasa ndo akashtukia, ila nikagoma kutoa password nkamjibu ni sis wangu tuna mambo yetu hayakuhusu.
Akaniacha ila hajaamini hadi sasa haniongeleshi. Je na wewe ushawahi kunusurika dakika za mwisho? na yule kijana nishamblock sirudii tena.
Niliwai mpiga mitama demu wangu alitoe mwenyewe tena huku analia.sipendagi ujinga mimiYaani kiukweli mimi mke wangu akitaka tukosane asitoe password kwa simu yake endapo ninamashaka juu ya jambo fulani.Yaani kwa jinsi scenario ilivyo unaonyesha si mwaminifu na kwangu mm ingekuwa bonge la mgogoro katika ndoa yetu.