Nimenusurika Kupigwa Risasi na Polisi usiku huu

Acha izo mwenye duka naye kapigwa mkwara au ni huo ufala wako tu
 
Kumbe walikuchenjia baada ya Wewe kuwamulika na Taa ya Gari yako? Sasa wao kukufuata na kukuhoji kuna Kosa hadi Wewe ukimbilie kuhamaki Mitandaoni kuwa Wamekutishia?

Hivi hili Tukio lako lingetokea Siku nyingine siyo hii ya Kuamkia leo Siku ya Kumbukumbu ya Uhuru wa Tanzania ungekimbia Kuhamaki hivi na kusema Umetishiwa Maisha?

Hivi logically tu unajua kabisa kuwa nchi bado haijatulia kutokana na yaliyotokea Oktoba na huku kuna Matishio ya Maandamano ya Kimapinduzi (ya Fujo, Uharibifu na Visasi) je, Vyombo vya Ulinzi na Usalama vikijipanga kwa kulinda Amani kuna tatizo kwa upande wako? Ni kwanini tunapenda mno Kuzusha mambo, kuleta Taharuki na kutafuta tu Umaarufu wa Kipumbavu?

Na hata kama hao Maaskari wametaka uwaonyeshe Kitambulisho chako je, hapo kuna tatizo? Huoni kuwa hili ni jambo la kawaida mno hasa nchi ikiwa inapitia Changamoto za Kiusalama, Vita na Mapinduzi?

Najua hutonielewa na wala Wapumbavu na Wanafiki wenzako hawatanielewa ila wenye Akili watanielewa vyema sana tu.

Tupunguze Chuki za Kijinga na Uzushi wa Kitoto ili mradi tu upate Sifa na Umaarufu.

Naunga mkono kwa 100% Vyombo vya Ulinzi na Usalama kufanya Kazi yake kwa Ustawi na Amani ya jumla ya Tanzania yangu.

Haya karibuni Mnitukane kama kawaida yenu Majuha (Fools)
 
Sisi magen z wa huku Tarime tumewapangia mbaya hao polisccm! sisi tunajua tunaenda vitani wala hakuna cha maandamano ya amani.
 

Umefunga mjadala...
 
Mbona hamna sehemu umekoswa na risasi au ni hasira ya kupigishwa magoti mbele ya mke wako?

Unapaki gari huku umewasha taa ya nini?
 

Kipindi kama hiki cha tension ya kisiasa unatakiwa utembee au utoke nyumbani kwa tahadhari hasa usiku.
ILA pia huwa na kerwa sana na watu ambao hawajui matumizi ya taa za vyombo vya moto; sijui hawajaenda driving school??? unakuta mtu amepaki gari usiku ameacha full light???
au wengine mjini kati anaendeshea full light??? hata ukimpa ishara aweke low/beam light hajui???
MUHIMU PIA....... KAJIFUNZE MATUMIZI SAHIHI YA TAA ZA GARI!!!
 
Kwa Tension iliyopo nadhani ni precaution za usalama..na sio kua umekoswa kupigwa risasi
 
Hata km sheria hizo ni kandamizi.
Uhai wa mtu huwezi kulinganishwa thamani yake ni chochote duniani.
Nyie ndo mnaphirwa mnatulia mnatuongezea laana kwa nchi.

Kwahiyo kwako uhai muhimu kuliko utu wako? Kubwa jinga wewe!! Hasara kwa taifa.
 
Nyie ndo mnaphirwa mnatulia mnatuongezea laana kwa nchi.

Kwahiyo kwako uhai muhimu kuliko utu wako? Kubwa jinga wewe!! Hasara kwa taifa.
Naona unahasira sana leo baada ya kuona dalili ya kushindwa kwenda kufanya wizi kwenye supermarkets za watu na kuharibu mali za watu.

Toka nenda kafanye unyumbu wenu na leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…