Nimenusurika kuuawa Guest house baada ya mpenzi wangu kupandisha majini

Nimenusurika kuuawa Guest house baada ya mpenzi wangu kupandisha majini

Kwema Wakuu!

Leo hii mngepewa taarifa ya tanzia ya msiba wa jokajeusi baada ya Jana kunusurika kuuawa nikiwa Guesthouse. Kwa kweli ningeingia Kuzimu Kwa Aibu huku nikiacha fedheha kubwa Duniani. Ishu ilianza, majira ya saa moja jioni, ambapo nilikuwa nikiwasiliana na Mtoto mrembo aitwaye Warda. W
Maneno ya kikurugwa hayawezi kumfukuza pepo bwashee, Wewe ulipaswa umwite bishop Masanja Mkandamizaji akusaidie kuyakemea hayo mapepo.

Unaendeleaje kwa sasa [emoji1787][emoji1787]
 
WARDA
4165D97B-D67E-4043-A202-ADAB001A832B.jpeg


Kama mambo yenyewe ndio hivi mwachen jokajeusi apigwe kabali tu!
 
“shindwa pepo kwa jina la Yesu” x3

Watu wanatamka jina la Yesu mpaka kwenye uasherati huko![emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Manka kikikolea utasikia yeeeesuuuuuu!... yeeeesuuuuuu!
 
Back
Top Bottom