Ndio sababu nimekuuliza ndugu, ni uhalisia au ndoto? Maana Mimi mwenyewe niliwahi kuto.mba mwanamke mmoja huwa ana majini wawili mwenyewe anawaita walimu wake, sema tu alikuwa ameshanihadithia kabla na nikalithibitisha hilo siku moja nimepita mazingira ya nyumbani kwao na baba yake alikuwepo ndiye humsaidia kuyatuliza. Siku za mbeleni akaniletea qumma yeye mwenyewe nikamhoji vipi kuhusu hao walimu wako maana sipendi kusumbuliwa, akanihakikishia amewaomba na wamemkubalia kwahiyo haina shida na ana nyegge nyingi hajafanywa kwa muda mrefu sana mtu wake alikuwa safari nikalala naye hadi asbh ~ nakumbuka siku ile sikupata tone la usingizi nikijihami kuwa nikiona dalili yyt ya ajabu natoka mbio ndefu [emoji16]