Nimenusurika kuuawa Guest house baada ya mpenzi wangu kupandisha majini

Maneno ya kikurugwa hayawezi kumfukuza pepo bwashee, Wewe ulipaswa umwite bishop Masanja Mkandamizaji akusaidie kuyakemea hayo mapepo.

Unaendeleaje kwa sasa [emoji1787][emoji1787]
 
“shindwa pepo kwa jina la Yesu” x3

Watu wanatamka jina la Yesu mpaka kwenye uasherati huko![emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Manka kikikolea utasikia yeeeesuuuuuu!... yeeeesuuuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…