RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Aisee leo mvua imepiga balaa uku lushoto tena ya maradi, nilikuwa ghetto nimetulia naperuzi JamiiForums kwa kutumia internet ya router ya YAS.
Huku radi zikiendelea kupiga sina ili wala lile mara nikasikia mlio mkubwa wa radi paap na mwanga mkubwa mwekundu hatari wa moto pembeni yangu mita kama 2 ivi na nilipokaa, nilipiga yowe balaa na nikazima router faster kwa kutoa betry na nikatoka nje na umeme main switch ikajizima.
Aisee kama haujawahi shuhudia radi we endelea tu kuwasha izo electronics devices wakati wa mvua za radi
Leo nimejifunza kutozipuuzia radi na nawashauri kipindi cha mvua kubwa kuzima kila devices, leo ningekufa aisee kumbe radi sio poa kabisa