Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Nikutumie radi ya buku jero uione ilivyo?😹Fetty wa mikoroshini,ndio zipi hizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikutumie radi ya buku jero uione ilivyo?😹Fetty wa mikoroshini,ndio zipi hizo?
Hao wa Tanga wana kitu kinaitwa Zongo.Wewe ndo unawakilisha wanaume wa Tanga?
Wanaume wa Tanga bhana sasa radi nacho ni kitu cha kuogopa wakati huku mpanda na usukuman unapata radi kwa buku jero tu
Huku radi zikiendelea kupiga sina ili wala lile mara nikasikia mlio mkubwa wa radi paap na mwanga mkubwa mwekundu hatari wa moto pembeni yangu mita kama 2 ivi na nilipokaa
Funga kifaa cha kudaka radi,acha kutisha watu.Aisee leo mvua imepiga balaa uku lushoto tena ya maradi, nilikuwa ghetto nimetulia naperuzi JamiiForums kwa kutumia internet ya router ya YAS.
Huku radi zikiendelea kupiga sina ili wala lile mara nikasikia mlio mkubwa wa radi paap na mwanga mkubwa mwekundu hatari wa moto pembeni yangu mita kama 2 ivi na nilipokaa, nilipiga yowe balaa na nikazima router faster kwa kutoa betry na nikatoka nje na umeme main switch ikajizima.
Aisee kama haujawahi shuhudia radi we endelea tu kuwasha izo electronics devices wakati wa mvua za radi
Leo nimejifunza kutozipuuzia radi na nawashauri kipindi cha mvua kubwa kuzima kila devices, leo ningekufa aisee kumbe radi sio poa kabisa
Hayo madude huwaga sio kabisa.Aisee leo mvua imepiga balaa uku lushoto tena ya maradi, nilikuwa ghetto nimetulia naperuzi JamiiForums kwa kutumia internet ya router ya YAS.
Huku radi zikiendelea kupiga sina ili wala lile mara nikasikia mlio mkubwa wa radi paap na mwanga mkubwa mwekundu hatari wa moto pembeni yangu mita kama 2 ivi na nilipokaa, nilipiga yowe balaa na nikazima router faster kwa kutoa betry na nikatoka nje na umeme main switch ikajizima.
Aisee kama haujawahi shuhudia radi we endelea tu kuwasha izo electronics devices wakati wa mvua za radi
Leo nimejifunza kutozipuuzia radi na nawashauri kipindi cha mvua kubwa kuzima kila devices, leo ningekufa aisee kumbe radi sio poa kabisa
Kuna mzee ni mfugaji aliniambia kwamba ukitaka kuondoa wenge ama kushituka shituka basi uwe una kula zile nyama ngumu za ng’ombe ambazo ukizitafuna zinakuwa kama mpira.hilo zaga mpaka sasa nikisikia mungurumo nakosa amani. lili ntwanga nikapote fahamu kwa sekunde
Nilitaka nimwambie huku Mpanda na Tabora radiWewe ndo unawakilisha wanaume wa Tanga?
Wanaume wa Tanga bhana sasa radi nacho ni kitu cha kuogopa wakati huku mpanda na usukuman unapata radi kwa buku jero tu
🤔😀😀huyo mzee noma.Kuna mzee ni mfugaji aliniambia kwamba ukitaka kuondoa wenge ama kushituka shituka basi uwe una kula zile nyama ngumu za ng’ombe ambazo ukizitafuna zinakuwa kama mpira.
Ila sina uthibitisho na hicho alichosema.
Kwani wewe kwenu ni wapi! Usiwe mwoga kwani radi haikwepeki.Aisee leo mvua imepiga balaa uku lushoto tena ya maradi, nilikuwa ghetto nimetulia naperuzi JamiiForums kwa kutumia internet ya router ya YAS.
Huku radi zikiendelea kupiga sina ili wala lile mara nikasikia mlio mkubwa wa radi paap na mwanga mkubwa mwekundu hatari wa moto pembeni yangu mita kama 2 ivi na nilipokaa, nilipiga yowe balaa na nikazima router faster kwa kutoa betry na nikatoka nje na umeme main switch ikajizima.
Aisee kama haujawahi shuhudia radi we endelea tu kuwasha izo electronics devices wakati wa mvua za radi
Leo nimejifunza kutozipuuzia radi na nawashauri kipindi cha mvua kubwa kuzima kila devices, leo ningekufa aisee kumbe radi sio poa kabisa
kama hauogopi kufa nenda CONGO-GOMA!!Unaogopa kufa kwani unaishi milele
Niende kutafuta ninikama hauogopi kufa nenda CONGO-GOMA!!
si haugopi kufa??Niende kutafuta nini
Sijataka kufa Sasa hivi nilitaka nasimama katikato ya barabara sio mpaka niende gomasi haugopi kufa??