Nimenusurika kuuliwa na radi

Wewe ndo unawakilisha wanaume wa Tanga?

Wanaume wa Tanga bhana sasa radi nacho ni kitu cha kuogopa wakati huku mpanda na usukuman unapata radi kwa buku jero tu
Hao wa Tanga wana kitu kinaitwa Zongo.
 
Huku radi zikiendelea kupiga sina ili wala lile mara nikasikia mlio mkubwa wa radi paap na mwanga mkubwa mwekundu hatari wa moto pembeni yangu mita kama 2 ivi na nilipokaa

Yaani radi ipige mita 2 toka ulipokaa halafu leo utuletee uzi JF?

Unajua kiwango cha umeme kinachoshuka na radi mzee?
 
Funga kifaa cha kudaka radi,acha kutisha watu.
 
Ndio shida kutumia internet ya router za yas.Pole sana Mkuu
 
Hayo madude huwaga sio kabisa.
 
hilo zaga mpaka sasa nikisikia mungurumo nakosa amani. lili ntwanga nikapote fahamu kwa sekunde
Kuna mzee ni mfugaji aliniambia kwamba ukitaka kuondoa wenge ama kushituka shituka basi uwe una kula zile nyama ngumu za ng’ombe ambazo ukizitafuna zinakuwa kama mpira.

Ila sina uthibitisho na hicho alichosema.
 
Wewe ndo unawakilisha wanaume wa Tanga?

Wanaume wa Tanga bhana sasa radi nacho ni kitu cha kuogopa wakati huku mpanda na usukuman unapata radi kwa buku jero tu
Nilitaka nimwambie huku Mpanda na Tabora radi
inawaka kabla ya mlio unasikia harmful ya baruti...kishindo mpaka tetemeko
 
Mambo muhimu ya kuzingatia anayotaka tuyajue mtoa mada

1. Ana router ya YAS -(Tigo) yenye Powebank yake (battery)

2. Anaishi ghetto
 
Kuna mzee ni mfugaji aliniambia kwamba ukitaka kuondoa wenge ama kushituka shituka basi uwe una kula zile nyama ngumu za ng’ombe ambazo ukizitafuna zinakuwa kama mpira.

Ila sina uthibitisho na hicho alichosema.
🤔😀😀huyo mzee noma.

sikua pekeangu nilikua na masela na wote tulianguka chini, jamaa aliekua na tochi ndo alikua anapiga mayowe nilipo amka tu sikuangalia mtu nilitimka mbio
 
Kwani wewe kwenu ni wapi! Usiwe mwoga kwani radi haikwepeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…