Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Sitaki hata kuwapa salama pliz nimevurugwa.
kwa jina naitwa, zachariano alexido.
Picha la kutisha linaanzia chugastani, mtoto mzuri Moja mdogo wake na aliekua meneja wetu, mtoto wa kitanga, kanikubalia tuwe pamoja. Sijui ni nini tu kilinifanya nisikaze kumla hako katoto umri miaka kumi na Saba, karefu sura mashaallah, kamemaliza cha nne matokeo haya kwenda poa, kakaja Kwa bro wake kupambana na ndo tulipo kutana.
Kalihama kakaenda kupiga day worker mahala pengine, nikikutana nacho kinanisisitiza kikotayari tuyajenge, ohoooo mara kikapotea namuuliza kaka yake, anadai kaenda kujifungua kwao Tanga, mimi heeeeh.
Picha la pili manzi mwingine, nikimsemesha fureeshi, alionekana Yuko siriasi tukawa tunapishana ghafla bin vuu naye huyo tumbo ndi, nilipo icheki sura nikajua tu bendi hili kumuuliza demu Fulani wa pale job, kanichana, mbona ina muda Mimi ohooh, aisee hao wote ingetokea ninge piga tu, kwishaaaaa habari yangu sahivi hata simu ninge kua Nisha uza ili kuhudumia mtoto ajaye na mama yake, kumbe msela mwenye mzigo Yuko pembeni anani chora tu daah,
GUYS LETS PRAY, MEN WE ARE NOT SAFE, PLIZ LET'S PRAY, FOR SURE
TENA KAMA SISI AMBAO BADO HATUJA BAHATIKA KUPATA MTOTO, TUWE MAKINI KWA UWEZO WA MUNGU🙏🙏🙏🙏
ALLAH SAW, NISIMAMIE INSHAALLAH, MARA MBILI NANUSURIKA.