Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Mbona ni mambo ya kawaida sana hayo kijana, wenzako tushazoeaSitaki hata kuwapa salama pliz nimevurugwa.
kwa jina naitwa, zachariano alexido.
Picha la kutisha linaanzia chugastani, mtoto mazuri Moja mdogo wake na aliekua meneja wetu, mtoto wa kitanga, kanikubalia tuwe pamoja. Sijui ni nini tu kilinifanya nisikaze kumla hako katoto umri miaka kumi na Saba, karefu sura mashaallah, kamemaliza cha nne matokeo haya kwenda poa, kakaja Kwa bro wake kupambana na ndo tulipo kutana.
Kalihama kakaenda kupiga day worker mahala pengine, nikikutana nacho kinanisisitiza kikotayari tuyajenge, mi nakuja mazito ohoooo mara kikapotea namuuloza kaka yake, anadai kaenda kujifungua kwao Tanga, mimi heeeeh.
Picha la pili manzi mwingine, nikimsemesha fureeshi tukawa tunapishana ghafla bin vuu naye huyo tumbo ndo, nilipo icheki sura nikajua tu bendi hili kumuuliza demu Fulani wa pale job, kanichana, mbona ina muda Mimi ohooh, aisee hoa wote ingetokea ninge piga tu, kwishaaaaa habari yangu sahivi hata simu ninge kua Nisha uza ili kuhudumia mtoto ajaye na mama yake, kumbe msela mwenye mzigo Yuko pembeni anani chora tu daah,
GUYS LETS PRAY, MEN WE ARE NOT SAFE, PLIZ LET'S PRAY, FOR SURE
TENA KAMA SISI AMBAO BADO HATUJA BAHATIKA KUPATA MTOTO, TUWE MAKINI KWA UWEZO WA MUNGU🙏🙏🙏🙏
ALLAH SAW, NISIMAMIE INSHAALLAH, MARA MBILI NANUSURIKA.
Asante mkuu Kwa kunifarijiMbona ni mambo ya kawaida sana hayo kijana, wenzako tushazoea
DuuuhMola akuepushie Nini?
Ye kashakwambia jiepushe na uzinzi na uasherati
Mengine ni juu yako
Sasa yule wa chuga nilikua nataka nimuowe, huoni kama ninge oa akiwa na mimba, ninge epuka Nini sasaMola akuepushie Nini?
Ye kashakwambia jiepushe na uzinzi na uasherati
Mengine ni juu yako
mwanaume kamili anaelea vizuri tu hizo mimba za kubambikiwa na anapiga mimba nyingine vizuri na maisha yanasonga tu in peace,Sitaki hata kuwapa salama pliz nimevurugwa.
kwa jina naitwa, zachariano alexido.
Picha la kutisha linaanzia chugastani, mtoto mzuri Moja mdogo wake na aliekua meneja wetu, mtoto wa kitanga, kanikubalia tuwe pamoja. Sijui ni nini tu kilinifanya nisikaze kumla hako katoto umri miaka kumi na Saba, karefu sura mashaallah, kamemaliza cha nne matokeo haya kwenda poa, kakaja Kwa bro wake kupambana na ndo tulipo kutana.
Kalihama kakaenda kupiga day worker mahala pengine, nikikutana nacho kinanisisitiza kikotayari tuyajenge, ohoooo mara kikapotea namuuliza kaka yake, anadai kaenda kujifungua kwao Tanga, mimi heeeeh.
Picha la pili manzi mwingine, nikimsemesha fureeshi, alionekana Yuko siriasi tukawa tunapishana ghafla bin vuu naye huyo tumbo ndi, nilipo icheki sura nikajua tu bendi hili kumuuliza demu Fulani wa pale job, kanichana, mbona ina muda Mimi ohooh, aisee hao wote ingetokea ninge piga tu, kwishaaaaa habari yangu sahivi hata simu ninge kua Nisha uza ili kuhudumia mtoto ajaye na mama yake, kumbe msela mwenye mzigo Yuko pembeni anani chora tu daah,
GUYS LETS PRAY, MEN WE ARE NOT SAFE, PLIZ LET'S PRAY, FOR SURE
TENA KAMA SISI AMBAO BADO HATUJA BAHATIKA KUPATA MTOTO, TUWE MAKINI KWA UWEZO WA MUNGU🙏🙏🙏🙏
ALLAH SAW, NISIMAMIE INSHAALLAH, MARA MBILI NANUSURIKA.
Acha umalaya.Sasa yule wa chuga nilikua nataka nimuowe, huoni kama ninge oa akiwa na mimba, ninge epuka Nini sasa
Pole kijanaSasa yule wa chuga nilikua nataka nimuowe, huoni kama ninge oa akiwa na mimba, ninge epuka Nini sasa
Inawezekana mkuu kabisa na Niko tayari, shida ni kuaminishwa mimba Yako ilihali si yakomwanaume kamili anaelea vizuri tu hizo mimba za kubambikiwa na anapiga mimba nyingine vizuri na maisha yanasonga tu in peace,
Umalaya upi nilitaka nimu oweAcha umalaya.
ili maisha yasonge in peace katika mahusiano au biashara,Inawezekana mkuu kabisa na Niko tayari, shida ni kuaminishwa mimba Yako ilihali si yako
Nime screen shot bro bonge Moja la ujumbe✌️ili maisha yasonge in peace katika mahusiano au biashara,
saa zingine unajishusha tu na kuondokana na sense of perfections,
kwasababu gentleman,
sense of perfections imeharibu mahusiano na ndoa nyingi sana mahali pengi, kwasababu kila moja kati ya wana ndoa au walioko kwenye mahusiano anajiona yuko sahihi zaidi au ni mtakatifu zaidi ya Yesu Kristo wa Nazareth kitu ambacho ni wrong.
a gentleman must sometimes take things easy ili mambo yaende smooth
pamoja sana gentlemanNime screen shot bro bonge Moja la ujumbe✌️
Mno bwasheeVitu vingine hata kuvisoma ni aibu