Nimenyimwa mtoto kisa eti sijamaliza mahari

Nimenyimwa mtoto kisa eti sijamaliza mahari

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Wakuu kuna makabila yana mambo ya ajabu sana hasa hasa ya kanda ya ziwa hususuani wale weupe ti wanaopatikana kanda ya ziwa wale akina macho ya makengeza yaani kwao mtoto wa kike ni source of income yaani

Nimeambiwa ili niweze kumchukua mtoto lazima nimalize mahari aisee daa mimi niwadindia nimewaambia kama vp mchukueni tu huyo mtoto wenu na mjukuu wenu
 
Back
Top Bottom