Nimenyonya titi lenye kidonda ila mimi sina kidonda mdomoni naweza kupata UKIMWI?

Nimenyonya titi lenye kidonda ila mimi sina kidonda mdomoni naweza kupata UKIMWI?

Hahaha dah!!
Yani uliskia kabisa kuwa huyo binti ameathirika ila still ukapita nae.
 
We jamaa humu hautapata majibu sahihi...majibu utayapata kwa kupimabl na kujua hali yako hasa miezi mitatu baada ya tendo. Hata hayo maneno ya watu kuwa ameathirika yanaweza kuwa sio ya kweli.
 
...................Nitakuja kukutandika viboko huko ulipo ikiwa utarudia tena hili kosa la unafanya ngono zako zembe huko then unakuja kuandika hapa kwamba “umefanya tendo la ndoa",wewe hujafanya tendo la ndoa bali umefanza uzinzi/uasherati au umalaya,that's it!!!

Tendo la ndoa linafanywa na wawili wenye kibali kutoka kwa Mungu ambao wameidhinishwa either na Sheikh au Mchungaji nje ya hapo mnachafuana tu.
 
Pole sana na ushauri mwingi uliopata. Nimefahamu kuwa kumbe JF ni kila kitu. Ushauri, utafiti, upimaji na hata kuagiziwa dawa ka vile hayo mafuta ya taa na Rungu spray. Dah! Sasa sijui utaanza na kiti.
Ila; Nakushauri hivi:
Kwanza ulifanya vizuri saana kumwandaa. Pili, tatizo lako kuubwa ni kwamba ulipotoka tu ukaanza kujitangaza mtaani kuwa leo umefaidi. Pale mtaani wapo wengi tu walikuwa wanamtaka ila wakamkosa. Ndo hao hao ulioenda kuwatambia. Wadhani ungeambiwa nini?? Hakuna hata mmoja keshathibitisha kuwa ana ngoma. Hakuna bali tetesi.
Hatutaishi kwa tetesi. Hatutaishi kwa hofu. Mpaka uukwae si kwa mlipuo 1 tu ati tiyari. Nimewahi kuandika humu kuwa; Waweza lala na mwanamke HIV+ na tena bila kinga wala usiupate. Mara nyingi wale wanaowaparamia bila hata kumuandaa hawa ndio huupata. Wale wanaowaandaa huponea tundu la sindano.
Kama ulimuandaa vilivyo yaani hadi kunyonya titi bovu, wewe huna shida. Wala usiende kupima bali rudia tena na this tyme muulise nini chanzo cha hicho kidonda. Liamini jibu lake wala hofu usiwe nayo. Kwa kheri tutaonana motoni kwa wazinzi.
 
Kama ana kidonda huwezi kuukosa Mkuu, pole sana
 
Kama masaa 72 hayajapita nakushauri nenda kituo cha afya waone wataalam wa afya jieleze watakusaidi kuna dawa huwa wanatoa kwa kutegemea kesi yenyewe kwa kiasi flani wanasema inaweza zuia maambukizi
Ndugu wanajamii juzi kati kuna demi alikuja ghetto, kiukwel nilimnyonyo chuchu zake baada kumaliza tendo LA ndoa nilishangaa kuona kidonda tetesi za kitaa demu ni mwathirika je naweza Kupata ukimwi
 
Kama masaa 72 hayajapita nakushauri nenda kituo cha afya waone wataalam wa afya jieleze watakusaidi kuna dawa huwa wanatoa kwa kutegemea kesi yenyewe kwa kiasi flani wanasema inaweza zuia maambukizi
Hizo dawa zipo, Zinaitwa kwa kifupi PEP
 
Viwanja vingi vimeo,watu mpo tu na manyonyo yasiyoeleweka duu...
 
Duuuuuuu,wanaume tumeumbwa mateso ... hoooo mateso ..matesoooo.ww jamaa ni nomaaaaa tena mkali.Ila usiofu kwa njia ya mate uwezekano ni mdogo sana kupata huo ugonjwa kama hakuna kidonda kwa wahusika.japo kwa upende wa ke upon na ww me hakuna .kuna uwezekano ukatoka salama
 
Ndio unaweza.. Hujiulizi kwanini mama anaambiwa asinyonyeshe mtoto kama ana virusi?
 
Back
Top Bottom