Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiwaambia hamna akili mtakataa kweli!!!Akili zetu bwwana sjui zinakuaje wanaume muda mwengne,,, Umesikia tetesi ameathirika na bado ukamla bila kuwa makin sasa hv unahitaji ushaur...
Kuna mtu huwa anasema kupata UKIMWI ni hadi urogwe.Ni jambo dogo sana usiogope halafu kupata ukimwi ni kazi ngumu sana tena sana
Wanadai kuna muda wanafikiria kwa kutumia lower headTukiwaambia hamna akili mtakataa kweli!!!
Kwel hatuna ila nashangaa nyie mnadate vip na watu wasio na akili sasaTukiwaambia hamna akili mtakataa kweli!!!
Ndugu wanajamii juzi kati kuna demi alikuja ghetto, kiukwel nilimnyonyo chuchu zake baada kumaliza tendo LA ndoa nilishangaa kuona kidonda tetesi za kitaa demu ni mwathirika je naweza Kupata ukimwi
Hizo dawa zipo, Zinaitwa kwa kifupi PEPKama masaa 72 hayajapita nakushauri nenda kituo cha afya waone wataalam wa afya jieleze watakusaidi kuna dawa huwa wanatoa kwa kutegemea kesi yenyewe kwa kiasi flani wanasema inaweza zuia maambukizi
Hakuna dawa inaitwa PEP..Hizo dawa zipo, Zinaitwa kwa kifupi PEP
Wanadai kuna muda wanafikiria kwa kutumia lower head
Hahaahhahhahahahaah wakufwe tu maana hakuna namna