Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Nyanyuka usinyong'onyee tafadhaliBaada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumban
Moyo unauma sana mpaka sitaman hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke..
Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu misha yakaendelea
Najitahidi lakiniNyanyuka usinyong'onyee tafadhali
Yaani maumivu yanaishaje moyoniNimepitia nyuzi zako kadhaa, aisee una mtihani kidogo, lakini usife moyo bibie, pambana, hata ukikaa chini sio solution.
Nakuonea huruma saana kiukweli
What is more important. Journey...or the destination?
Lady in action, which action you mean? Sorry i can't feel the same way as you!Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumban
Moyo unauma sana mpaka sitaman hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke..
Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu misha yakaendelea
Yanaweza isha japo yanahitaji muda kidogo. Hakuna tatizo linalokaa milele, yote ni mapito.Yan maumivu yanaishaje moyoni
Sio kujitahidi, jilazimishe na uweze. Usipoangalia utakonda na kufubaa hata magonjwa yatakuandama, na huyo uliyeondoka kwake atafurahia kukuona umepigika. Ishi ukipanga mambo unayoyaka yaende vizuri, hakuna wa kukusaidia zaidi ya wewe mwenyewe.Najitahidi lkn
HayaYanaweza isha japo yanahitaji muda kidogo. Hakuna tatizo linalokaa milele, yote ni mapito.
Hajanifukuza lkn je ndio nitaubadilisha moyo wake? Je hata nikirudi nitadumu kwa muda gani sababu anachofanya hata yeye haelewi ni vile hanipendi ndio anajikutaSio kujitahidi, jilazimishe na uweze. Usipoangalia utakonda na kufubaa hata magonjwa yatakuandama, na huyo uliyeondoka kwake atafurahia kukuona umepigika. Ishi ukipanga mambo unayoyaka yaende vzr, hakuna wa kukusaidia zaidi ya wewe mwenyewe.
Ila sitashangaa baada ya mwezi ukituambia umerudi kwa hubby🤣
Siwezi nina watoto 2Wanawake JF mshikeni mkono mwenzenu huyu anahitaji faraja, uangalizi wa karibu, kuoneshwa upendo wa hali ya juu, kujaliwa.
Nimepitia nyuzi zake hayuko sawa.
Hawa ndio watu hawachelewi kuchukua uamuzi mgumu(mungu amuepushie mbali ujinga huo)
Vizuri, basi jitahidi kufuta huo msongo wa mawazo kwa ajili ya afya yako bibie.Siwezi ninawatoto 2
1) miaka 7 baba yake alishafariki
2) ana mwaka 1 wote wananitegemea siwezi fanya chochote kibaya Mungu anisaidie