Nimenyoosha mikono juu

Nimenyoosha mikono juu

Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.

Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Unahitaji counseling on a serious note. Njia ya kwanza ya kutatua tatizo ni kujua chanzo chake and then you take appropriate responsibility. Kindly be advised.
 
Yan maumivu yanaishaje moyoni
Baada ya muda kupita, maumivu hupona kupitia tiba asili iitwayo 'sahau'...na hapo ndio thamani na umuhimu wa kuumbiwa 'sahau' kwa binadam huonekana.

Watu wamepitia matatizo mengi ikiwemo kufiwa na watu wa karibu zaidi (wenza, watoto, wazazi), kuuguza magonjwa ya kudumu, au kupata ulemavu wa kudumu. Nyoyo zikaumia sana, wakawa wakimwaga machozi tena na tena. Lakini baada ya kitambo kupita, wakasahau machungu, maisha yakaendelea kama kawa.
 
Au
Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.

Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Au utakuwa unameza vidonge vya ARV ndo akili zinakuwaga hivi
 
Siwezi ninawatoto 2
1) miaka 7 baba yake alishafariki
2) ana mwaka 1 wote wananitegemea siwezi fanya chochote kibaya Mungu anisaidie
WAKUU ndg dudumizi na wengine

Nina scenerio tatu hivi wadada wa aina hii. Acheni kubeza. Dada Mmoja tulipiga nae xul miaka hiyooo. Nimetumia lugha hiyo Kwa maana.

Nakumbuka alinisumbua sana wkt nadate nae. Wkt tumemaliza madarasa yote tukaonana tukiwa waajiriwa, tukaonana sehemu akanipa mbususu nikala. Kwa Sasa namkimbia, Ingawa anakazi yake na usafiri safi. Lkn ndani huko chumbani na mshua hakufai. Niliacha kula tunda Kwa sabb nyingi tu. Maana ningeanza kula kavu na maradhi.

Wa pili.. ana mtoto mkubwa tu na anaganyakazi, mtoto wa 23 binti...mama ake ana noma na mumewe wa Sasa Kwa sababu ya mtoto wa kakufikia. Nikimaanisha baba Watoto mwingine alishateleza(hapahapa mwanza). Huyu kiumbe nikikutana naye Akiwa mwenye mawazo, kibaya zaidi msua anampiga Sana. Baada ya kukaa naye kidogo akapenda nilivyompa courageous...akanipa tunda....

Na analia sikujua sababu baadae, swali Kwa nini unalia....akasema ameinjoi na anashukuru nilivyomfanyia...nikamkimbia....

Wa tatu..mshua anaporudi usiku, taa ikiwa imezimwa, akifika kitandani anapapasa tu, akimgusa MTU, anatafuta miguu ilipo, na katikati tundani,akipagusa, anatoa zipu na kuweka shoka, akishachanja anasepa huyoo....

Hivi vitu vinawa disappoint Sana wenzao. Huyu wa Leo ni mmoja ila ni wengi Sana mtaani.

Tatizo nikikutana nao wanataka wenyewe.

Ndio maana nakushauri potea, fanya shughul yako upate chakula Cha wanao. Epuka kuonewa huruma. Fanya yako peke yako
 
Wewe msanii tu, kuchati kote huko eti utaki kunyanyukaaa aloooo

Embu acha utoto, wewe ndio wa kwanza kuwa na mahusiano?? Acha kulia lia bhana.
 
Ili tubalance tupate story upande wa pili,itakuwa umeyakanyaga uko umechepuka umepigwa ban ya maisha unatafuta huruma za watu. Tulieni kwenye ndoa ajira zenyewe ngumu,umeshapoteza ajira yako
 
Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.

Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Kwa kuacha vitu vyako umefanya jambo la maana sana. Mumeo atakufata tu relax mda utaongea, haijalishi wewe ndo achanzo au yeye mi mi sitaki kujua maana ungefafanua mwenyewe.

Jipe mda fanya vikazi vidogo vidogo hapo nyumban wasaidie wazazi usilale tu hapo unajiongezea msongo wa mawazo. Baada ya muda atakufata mwenyewe na usimpigie hata simu we kausha tu. Ila kama kweli yeye ndo anamakosa kinyume na hapo mmmh

Ni wachache mno wanaume wanaofanikiwa wanapoachana na wake zao na wakaachiwa kila kitu hasa kama mmepambana wote kwenye shida mkavipata kwa pamoja, huwa kuna laana fulani inawatafuana na mali huisha bila kujua.
 
Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.

Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Pole sana mkuu.
Pengine na wewe ulikuwa na mapungufu yako mkashindwa kuchukuliana. Ndoa ina mambo mengi sana yanayohitaji kukubaliana na madhaifu ya kila mmoja.
 
Ili tubalance tupate story upande wa pili,itakuwa umeyakanyaga uko umechepuka umepigwa ban ya maisha unatafuta huruma za watu.
Tulieni kwenye ndoa ajira zenyewe ngumu,umeshapoteza ajira ya

Wewe msanii tu, kuchati kote huko eti utaki kunyanyukaaa aloooo

Embu acha utoto, wewe ndio wa kwanza kuwa na mahusiano?? Acha kulia lia bhana.
Nimenyanyuka nikaenda kuoga maana tangu kumekucha hata kitandani sijaamka
 
Back
Top Bottom