Nimenyoosha mikono juu

Hakuna kitu kibaya kama kutoa ushauri wa mahusiano ya wapenzi wawili/wanandoa waliokorofishana kwa kusikiliza upande mmoja. Ni lazima usikilize pande zote ili u-balance story. Narudia tena: Epuka kutoa ushauri au uamuzi wowote kwa kusikiliza maneno ya upande mmoja. Utakuwa unazidi kuharibu kwani hutajua chanzo cha tatizo hasa ni nini. lady in action huna ndugu, marafiki na jamaa? Kwa nini hupeleki haya malalamiko yako mkakalishwa na kusikilizwa?

Je, inawezekana unapenda kuyaweka hapa kwa sababu hatuwezi kusikiliza upande wa hao wanaume/mwanaume wako? Hili mimi nina experience nalo tena kubwa. Kuna kinamama ninaowafahamu ambao kama huwajui, ukisikia malalamiko yao basi unaweza kudhani wao ni malaika na hao wanaume wao ni mashetani. Lakini ukichunguza kwa muda na kuuliza majiraji au ndugu unakuta hao wanawake ndiyo ''mashetani'' na hao wanaume wamevumilia mengi sana.
 
Si ulimwambia hajui kukuna?
Umeshindwa kujishusha uombe msamaha?
 
Watu kama wewe hamfai kabisa, akishatolewa hizo nyege what next?.

Mtoto naye atashindia hizo ny..ge?
Mshauri ajishushe.
Nimewahi kusoma mahala amemkashfu mmewe so hata yeye ana matatizo makubwa
 
Usikate tamaa.

Angalia PM kwako
 

Njoo PM upate msaada.
Mambo madogo hayo
 
Surely mkuu
 
Mungu halali anaona mahangaiko yako jipe moyo na ujipambanie tafuta watu wako wa karibu zungumza nao unapohisi upweke..Time heals everything na Mungu atakuinua
My mom happened to him same story tukiwa wadogo alipambana naamini wewe ni Mwanamke imara,Simama ujipambanie Usikate tamaa alafu Sali sana
 
Wanasayansi bado hawajapa dawa ya kutibu maumivu ya mahusiano, atakae igundua atapiga sana pesa.
Time heals bro atakua sawa anahangaika na mambo mawili kwa wakati mmoja hivo inampa taabu ila atakaa sawa
 
Siwezi nina watoto 2
1) Miaka 7 baba yake alishafariki
2) Ana mwaka 1 wote wananitegemea siwezi fanya chochote kibaya Mungu anisaidie
Sali Dada Yangu alafu Simama wewe ni Mwanamke imara usikubali kujiona dhaifu kwa dhihaka za watu ama kwa namna yoyote,Maisha yanabadilika na unaweza kuwa chochote,Pambana
 
Pole Sana madam nimepitia Baadhi ya nyuzi zako nimepja hili swala limekuhumiza Sana,

Kama nitakukwaza nitakayosema I am sorry,
Nimeona kwamba ulimpenda Sana huyu kijana ila kwa mda mlio kaa kwenye urafiki mpaka kutambulishana kea wazazi ule ulikuwa mda Mdogo Sana , na ninauhakika hukumfahamu Tabia yake vizuri hata kwao wapoje na wanatabia gani. Ni Jambo ulilifanya kwa haraka Sana. Ila ishatokea tayari.

Omba MUNGU kwa juhudi akupe amani moyoni sawa.
 
Wanawake JF mshikeni mkono mwenzenu huyu anahitaji faraja, uangalizi wa karibu, kuoneshwa upendo wa hali ya juu, kujaliwa.

Nimepitia nyuzi zake hayuko sawa.. Hawa ndio watu hawachelewi kuchukua uamuzi mgumu(Mungu amuepushie mbali ujinga huo)
Yani huyu Dada mkuu inaonesha anampenda Sana huyo jamaa Tena Sana.

Na hata kenye mahusiano kabla ya kuingia kwenye ndoa kulingana na yeye nyuzi zake alivyoeleza, Kuna viashiria vilijionyesha kuhusu huyo jamaa ila halivipuuzia, hayo naamini alimpenda huyo jamaa.
 
Kitu pekee mwanamke anaweza nishawishi kuwa mumewe hafai ni an abusive man.
Mengine huwa ni selfishness tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…