macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hakuna kitu kibaya kama kutoa ushauri wa mahusiano ya wapenzi wawili/wanandoa waliokorofishana kwa kusikiliza upande mmoja. Ni lazima usikilize pande zote ili u-balance story. Narudia tena: Epuka kutoa ushauri au uamuzi wowote kwa kusikiliza maneno ya upande mmoja. Utakuwa unazidi kuharibu kwani hutajua chanzo cha tatizo hasa ni nini. lady in action huna ndugu, marafiki na jamaa? Kwa nini hupeleki haya malalamiko yako mkakalishwa na kusikilizwa?huyu dada nimefatilia nyuzi zake nimeona ana bahati mbaya kweny mahusiano yake yote,ameteseka miaka mingi kweny hayo mahusiano yake,,ko mnaomkejeli acheni mala moja wala msimshauri arudi kwa mmewe,,mwacheni apumnzike atulize akili.
mi namshauri atafute tu mwanaume wa kumtoa nyege asirudi kwa mmewe.
Je, inawezekana unapenda kuyaweka hapa kwa sababu hatuwezi kusikiliza upande wa hao wanaume/mwanaume wako? Hili mimi nina experience nalo tena kubwa. Kuna kinamama ninaowafahamu ambao kama huwajui, ukisikia malalamiko yao basi unaweza kudhani wao ni malaika na hao wanaume wao ni mashetani. Lakini ukichunguza kwa muda na kuuliza majiraji au ndugu unakuta hao wanawake ndiyo ''mashetani'' na hao wanaume wamevumilia mengi sana.