Nimenyoosha mikono juu

Haujanifukuza lkn je ndio nitaubadilisha moyo wake? je hata nikirudi nitadum kwa muda gan sababu anachofanya hata yeye haelewi ni vile hanipendi ndio anajikuta Achana na moyo wake haukuhusu jali moyo wako.
Wewe umejuaje kama anachofanya hakielewi? Anafanya makusudi na hakuna ambacho hakielewi, na anajua huchomoi kwake na utarudi tu. Na kama hajielewi basi muombee kwa imani yako abadiloke. Ila kukaa unalialia haitakusaidia bali itazidi kukunyong'onyeza.
 
Dada kwanza pole Sana kwa mazito yaliyokufika n mapito tu hili nalo litapita Kama mengine tu

Sasa dada nimefuatilia nyuzi zako huko nyuma inaonekana mwanzon ulikuwa na mahusiano na mtu mwingne na mkafanikiwa kupata mtoto wenu kwa mujibu wako yupo std 3 kisha mkaachana japo s kwa Aman baadae ukapata mtu mwingne mmeishi pamoja mkapata mtoto Leo mmeachana Tena sasa huoni Kama Kuna shida mahali dada yangu?

Kila mtoto na baba yake na bado n binti wewe unaweza ukapata mtu mwingne akakuzalisha Tena sidhan Kama mtu akuoe asitake mtoto na yeye

USHAURI wangu hebu jifanyie tathmin kwanza wewe mwenyewe kabla ya kuwanyoshea vidole hao wanaume uliopata zaa nao na mkaishi pamoja

Huko nyuma katika wako mmoja ulipata kuyasema haya kuwa mzazi mwenzako anamawasiliano na wewe. Ambayo hukuyapenda kwann hukumblock mapema kuepusha matatizo unadhan mwanamme ambaye unaishi naye angefurahia hayo mawasiliano wakat yeye ndye anayetoa huduma? Usimuone Kama ndez hyo mwanaume wa mwisho uloyeoshi nae lazma alikuwa anafuatilia nyendo zako

JITATHMIN
 
Huyu dada ni kimeo
 
Usipoliwa kimasihara kutokana na huu Uzi wako...njoo kwangu utanikuta nimekaa pale.
 
Nyuzi zako nyingi hapa ni matatizo ya ndoa yako, nikuulize kwanza una Umri Gani na Mumeo ana umri upi then nikushauri
 
Pole sana,cha kwanza ujue hauko peke yako unaepitia hilo,wapo wengi wengine hawapo humu jf so hata kusikia story zao ni ngumu
Kuna wengine bado wapo kwenye ndoa zào ila wanapitia moto mkali!
Kikubwa usione ndo mwisho wa maisha,jipe muda mfupi wa kulia ili uchungu wote utoke then yaache yaliyopita yapite nawe uanze maisha mapya!
Nakuhakikishia utapata faraja na utasahau kabisa hayo yote,kikubwa tu usiombolèze mda mrefu!
Take heart my sister!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…