Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
Milembe watamsaidia zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milembe watamsaidia zaidi
[emoji2309][emoji2309][emoji2309][emoji2309]Sidhani kkama alimaanisha kudanga, ila kama maana yake kudanga kakosea.
Hapo kuna point kadhaa
1. Aoge apendeze: hii mara nyingi mkiachana na mtu raha yake ni kukuona una dhohofu tu, sasa akiona unapendeza nini nafsi yake lazima imuume
2. Dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie, ndio asitafute kwa pupa, ila akipata wa kumfaa ajitulize nae, mwamba akimuona bibie lady in action ananawiri halafu kuna kidume kingine anaweza kushika adabu yake, ila hili si la lazima, sababu anaweza kupata mwingine akamsumbua. Muhimu hapa ni hilo la kuoga kupendeza(kuendelea na maisha yake kama hakijatokea kitu vile)
Mi ndo mana nawakubalia tu, tutajuana mbele Kwa mbele.Ukute kuna mwanaume pembeni anakutongoza, pengine ana nia nzuri na wewe, unamkataa kwa kumwambia una mtu wako hahaaa lady in action
Kuna wanawake wanajikuta manunda snaaa....Nimejitahidi sana kutumia lugha nzuri ila niseme ukweli kipindi hichi wanawake mnaharibu saana ndoa ukichunguza hata kesi ya huyu utakuta tatizo ni kumtunishia msuli mume wake ndo mana kajikuta hali hiyo.... Ukweli ni kwamba si rahisi mwanaume aliyekuoa akakutelekezea mtoto kirahisi ivo
Men don’t wanna try hard for women who disgust them, so they become disgusting to women who can’t respect them for being incompetent, which makes those women manifest behaviour that makes them disgusting to men and so on. So it’s just a spiralling negative feedback loop.huyu dada nimefatilia nyuzi zake nimeona ana bahati mbaya kweny mahusiano yake yote,ameteseka miaka mingi kweny hayo mahusiano yake,,ko mnaomkejeli acheni mala moja wala msimshauri arudi kwa mmewe,,mwacheni apumnzike atulize akili.
mi namshauri atafute tu mwanaume wa kumtoa nyege asirudi kwa mmewe.
sophy27 elewa kitu kimoja dini na asili ya waafrika mwanaume ni kichwa mtawala, nadhani unaelewa nn maana ya mtawala!! Sasa wanawake wa siku hizi mnataka ligi na mtawala by nature na pia mnaingia kwenye ndoa na mentality ya kwamba mume si ndugu yako, mume lazima awe na vimada so mda wote mnakua tayari kwa mapambano yanayoharibu ndoa... Angalia mama zetu walivyodumu kwenye ndoa zao alafu angalia kizazi chetu cha haki sawa???Lkn nyie wanaume mnamatatizo sana somtym sema wanawake wavumilivu sana ila wakichoka mambo ndo hugeuka
Wengi saana ndomana wanachezea shaba.... Yenyewe yanata usawa lakini sio wakuendesha familia yenyewe ipewe tuu na itetewe kwenye ujinga waokuna wanawake wanajikuta manunda snaaa....
Nakuja PM mkuu[emoji56]Mi ndo mana nawakubalia tu, tutajuana mbele Kwa mbele.
Sawa lkn mnawaumiza sana jmn ukweli usemwesophy27 elewa kitu kimoja dini na asili ya waafrika mwanaume ni kichwa mtawala, nadhani unaelewa nn maana ya mtawala!! Sasa wanawake wa siku hizi mnataka ligi na mtawala by nature na pia mnaingia kwenye ndoa na mentality ya kwamba mume si ndugu yako, mume lazima awe na vimada so mda wote mnakua tayari kwa mapambano yanayoharibu ndoa... Angalia mama zetu walivyodumu kwenye ndoa zao alafu angalia kizazi chetu cha haki sawa???
binafsi naamini usawa wa haki kati ya mwanaume na mwanamke ni kwenye uhai na usalama tuu mengine ni laana tupu
Inategemea lakini we mwanamke umejipozisheni vip.... Japo wanaume wazinguaji pia wapoSawa lkn mnawaumiza sana jmn ukweli usemwe
I understand you!Najitahidi lakini
[emoji1787][emoji1787]Kimeo hiki