Nimenyoosha mikono juu

Nimenyoosha mikono juu

Polee hizo ndio changamoto za ndoa swahiba,naomba nikuulize kwanza ile mil 18 yako ya mirathi huyo shem yetu ameshiriki kuinyambua?

 
Polee hizo ndio changamoto za ndoa swahiba,naomba nikuulize kwanza ile mil 18 yako ya mirathi huyo shem yetu ameshiriki kuinyambua?

Wadau mpo Makini kufungua mafaili ya zamanii
 
Sawa lkn sio wakt wake ulishapona maumivu Yako unajua pia hali wanazopitia wengine punguza ukali wa maneno
Nimejitahidi sana kutumia lugha nzuri ila niseme ukweli kipindi hichi wanawake mnaharibu saana ndoa ukichunguza hata kesi ya huyu utakuta tatizo ni kumtunishia msuli mume wake ndo mana kajikuta hali hiyo.... Ukweli ni kwamba si rahisi mwanaume aliyekuoa akakutelekezea mtoto kirahisi ivo
 
Hebu njoo PM nikuambie kitu kizuri! Acha kujifungia huko uliko..mimi niko tayari kuwalea wote wewe na mwanao..tukubaliane tu!
 
Pole sana mpenzi, Ila nikwambie dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie, Kama ilivyo dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie....upo?
Umesema mtoto ana mwaka mmoja, hebu Acha kulea kizamani, oga utakate, jipende, pendeza.....Acha kumuwaza huyo mwanaume halafu utaleta mrejesho hapa.
Unamfundisha kudanga?sijapenda kwakweli [emoji848][emoji2]
 
Nimesoma comments zako nikajiuliza, inawezekana Makaveli kweli alikimbilia Tanzania nini! Refer issue ya Godfather wake marehemu Geronimo Platt “Ji-Jaga kujichimbia zake Chuga… umejua kuwafariji hawa wadada to keep their head up…
“If he can’t learn to love you should leave him, cause sister you don’t need him, I ain’t tryna gas up ….” Pumzika Makaveli.
You know it makes me unhappy
When brothas make babies
And leave a young mother to be a pappy,
And since we all came from a woman
Got our name from a woman and our game from a woman
I wonder why we take from our women
Why we rape our women, do we hate our women?
I think it's time to kill for our women
Time to heal our women, be real to our women
And if we don't we'll have a race of babies
That will hate the ladies, who make the babies
And since a man can't make one
He has no right to tell a woman when and where to create one
So will the real men get up
I know you're fed up ladies, but keep your head up
 
Mtoa mada pole Sana,
Japo hatujaskia upande wa pili,

Ila nikwambie Tu UKWELI kwamba wee ndio unamatatizo.

Sio kwamba nakulaumu,
Bali nakufumbua ili uweze kuboresha mahusiano yako.

Kama UTakua open minded,
Bila kinyongo naweza kukuambia Ni wapi unakosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau mpo Makini kufungua mafaili ya zamanii
Huyu tatizo lake lilianzia hapa [emoji116]

 
Dada kwanza pole Sana kwa mazito yaliyokufika n mapito tu hili nalo litapita Kama mengine tu

Sasa dada nimefuatilia nyuzi zako huko nyuma inaonekana mwanzon ulikuwa na mahusiano na mtu mwingne na mkafanikiwa kupata mtoto wenu kwa mujibu wako yupo std 3 kisha mkaachana japo s kwa Aman baadae ukapata mtu mwingne mmeishi pamoja mkapata mtoto Leo mmeachana Tena sasa huoni Kama Kuna shida mahali dada yangu?

Kila mtoto na baba yake na bado n binti wewe unaweza ukapata mtu mwingne akakuzalisha Tena sidhan Kama mtu akuoe asitake mtoto na yeye

USHAURI wangu hebu jifanyie tathmin kwanza wewe mwenyewe kabla ya kuwanyoshea vidole hao wanaume uliopata zaa nao na mkaishi pamoja

Huko nyuma katika wako mmoja ulipata kuyasema haya kuwa mzazi mwenzako anamawasiliano na wewe. Ambayo hukuyapenda kwann hukumblock mapema kuepusha matatizo unadhan mwanamme ambaye unaishi naye angefurahia hayo mawasiliano wakat yeye ndye anayetoa huduma? Usimuone Kama ndez hyo mwanaume wa mwisho uloyeoshi nae lazma alikuwa anafuatilia nyendo zako

JITATHMIN
Sahii kabisa,
Binti anatatizo sema hajajijua,
Nmefatilia Sana nyuzi zake pia,

Japo sikua mchangiaji Sana,
Ila mtiririko wa visa vyake na Wanaume wake nadhan Kuna Hali unaua kabisa hisia za mapenz za mwanaume na yeye.

Nasubiri response yake nimshaur vizur,
Kuachana haiwez kua suluhisho la matatizo yake kimahusiano.

Arekebishe kwanza upande wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu tatizo lake lilianzia hapa [emoji116]

Tukiwa bado tunamtafakari akatujia tena na hili lingine [emoji116]

 
Story zako ni chai tupu,according to your past threads unatunga story
Naukatalia,
Thread za huyu dada ukisoma between lines zinamtiririko usiotia shaka kabisa kua Ni real life situations.

Changamoto yake Labda sio mwandishi a muwasilishaji mzuri,

Zingekua Ni chai,
Tangu ameanza kuandika miaka yote
Kuna mahali tungepata mahali penye mkanganyiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ndoa zenu tumewaachia nyie wenyewe manguli.

Naungana na Liverpool VPN

MSIOE WALA KUOELEWA zaeni Kila mtu ashike hamsini zake.

Kupenda toto la mtu ulikokutana nalo ukubwani usio na uhusiano nalo wowote wa damu wa vinasaba ni sawa na kubebe gunia la misumari
 
Unamfundisha kudanga?sijapenda kwakweli [emoji848][emoji2]
Sidhani kkama alimaanisha kudanga, ila kama maana yake kudanga kakosea.

Hapo kuna point kadhaa
1. Aoge apendeze: hii mara nyingi mkiachana na mtu raha yake ni kukuona una dhohofu tu, sasa akiona unapendeza nini nafsi yake lazima imuume
2. Dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie, ndio asitafute kwa pupa, ila akipata wa kumfaa ajitulize nae, mwamba akimuona bibie lady in action ananawiri halafu kuna kidume kingine anaweza kushika adabu yake, ila hili si la lazima, sababu anaweza kupata mwingine akamsumbua. Muhimu hapa ni hilo la kuoga kupendeza(kuendelea na maisha yake kama hakijatokea kitu vile)
 
Unahitaji counseling on a serious note. Njia ya kwanza ya kutatua tatizo ni kujua chanzo chake and then you take appropriate responsibility. Kindly be advised.
Sahii kabisa,
Dada yetu huyu anahitaj kushauriwa.
Ila Sasa mpk kwa hiari yake mwnyw afungue moyo akubali kushauriwa

Chanzo
nadhan ukifuata nyuz zake kwa makin utakiona mkuu, naamini humu jf wee mi mchunguz mzur Sana wa saikolojia ya mtu ktk maandish yake.

Dada yetu ana matatizo makubwa sana jins anavyoendesha mahusiano yake,
(Nishawahi kua na wanawake kaliba ya mtoa mada)

Hali hiyo inapelekea kuchokwa mapema sana, kukinaiwa na kuua hisia za mapenz kutoka upande wa pili.

Nakazia,
Dada yetu anahitaj USHAUR


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya yote yaliyopita kuwa ni ndoto ya jana usiku na huyo mtoto kiwa baraka toka kwa muumba
Unachotakiwa sahini ni
1. Kumtegemea Mungu
2. Kujiamini
3. Nakufanya kile unachoweza kukifanya.
Kuwa hivi
1. Mtu wa Dini sana kadili ya dini yako
2. Mtu unayejitegemea kihalali sio omba omba unaemtegemea mtu/watu/wanaume/wanawake
3. Mtu unayefaa wengine kama watu wako/ndugu zako/jamaa zako/majilani zako/nchi yako/dini yako/Familia yako n.k
Simama kwa misingi hii
1. Ujuzi
2.Utendaji
3.Uaminifu
 
Yanni pole kwa yaliyokikuta,...ila apo namshangaa kidogo umeacha biashara na nyuma .unaumia sababu ya mwanaume?we dada embu mshukuru mungu kwanza...kama unasehemu yakukuingizia kipato chako mwenyewe na nyumba japo siwezi Jua mlijenga wote ama la ....lakini kama unasehemu yakuingiza pesa kidogo but still you're crying for a man asiejielewa nakushangaa?jivike ujasiri na usonge ,kwako Kila kitu kinawezekana amini
 
Back
Top Bottom