Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Huruma zako zinanifanya nizidi kupenda sana.š„°š„°Pole Sana kipenz changu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huruma zako zinanifanya nizidi kupenda sana.š„°š„°Pole Sana kipenz changu
Pole Sana, Ukweli unayopitia sasa ndo yanaenda kukukomaza zaidi. Yakishapita haya na ukafanikiwa kuyasahau hakuna kiumbe dunia hii atakayekusumbua.Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Nimekusoma sana hapa JF, unaiharibu ndoa yako mwenyewe!Yan maumivu yanaishaje moyoni
Kwny ndoa kuna maelewano kila siku?Mtoto sio issue kama maelewano hakuna bora ajikatae tu mtoto isiwe pingu ya kumfunga
makaveli10 umekuwa mtu mwema sana siku hiziWanawake JF mshikeni mkono mwenzenu huyu anahitaji faraja, uangalizi wa karibu, kuoneshwa upendo wa hali ya juu, kujaliwa.
Nimepitia nyuzi zake hayuko sawa.. Hawa ndio watu hawachelewi kuchukua uamuzi mgumu(Mungu amuepushie mbali ujinga huo)
Ukute kuna mwanaume pembeni anakutongoza, pengine ana nia nzuri na wewe, unamkataa kwa kumwambia una mtu wako hahaaa lady in actionHaujanifukuza lkn je ndio nitaubadilisha moyo wake? je hata nikirudi nitadum kwa muda gan sababu anachofanya hata yeye haelewi ni vile hanipendi ndio anajikuta
Na yule binti yako anayetaka kusomea uhudumu wa ndege [emoji849][emoji849][emoji848]?Siwezi ninawatoto 2
1) miaka 7 baba yake alishafariki
2) ana mwaka 1 wote wananitegemea siwezi fanya chochote kibaya Mungu anisaidie
Hii law ina play sehem nyingi mno hata katika maisha ya kila sikuIn every action there is an equal and opposite reactionā¦
Kaka ina maana siku z nyuma nilikuwa mtu muovu, muhuni au miyeyusho!? š šmakaveli10 umekuwa mtu mwema sana siku hizi
Shetani akizeeka ageuka malaika ha ha haKaka ina maana siku z nyuma nilikuwa mtu muovu, muhuni au miyeyusho!? š š
Hahaa... Tengua kauli kaka, mimi malaika toka kuzaliwa šShetani akizeeka ageuka malaika ha ha ha
Tafuta backup, huyo jamaa hajiamini kuna mahali umemzidiYan maumivu yanaishaje moyoni
Nimesoma comments zako nikajiuliza, inawezekana Makaveli kweli alikimbilia Tanzania nini! Refer issue ya Godfather wake marehemu Geronimo Platt āJi-Jaga kujichimbia zake Chuga⦠umejua kuwafariji hawa wadada to keep their head upā¦Wanawake JF mshikeni mkono mwenzenu huyu anahitaji faraja, uangalizi wa karibu, kuoneshwa upendo wa hali ya juu, kujaliwa.
Nimepitia nyuzi zake hayuko sawa.. Hawa ndio watu hawachelewi kuchukua uamuzi mgumu(Mungu amuepushie mbali ujinga huo)