Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Huruma zako zinanifanya nizidi kupenda sana.🥰🥰
Kipenz changu hata kama dunia yote ikikukera wala usijali atakuwepo mmoja kukufariji ambaye ndio mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huruma zako zinanifanya nizidi kupenda sana.🥰🥰
Na mm ngoja nikusaidie kucheka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jaman imebid nicheke
Wadau mpo Makini kufungua mafaili ya zamaniiPolee hizo ndio changamoto za ndoa swahiba,naomba nikuulize kwanza ile mil 18 yako ya mirathi huyo shem yetu ameshiriki kuinyambua?
Baada ya kuona nimepata mirathi kawa mpole sana
Miezi kadhaa nyuma niliondokewa na baba mzazi,,, tukaanza process za mirathi, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu. Sasa huyu shemeji yenu simuelewi hapo nyuma alibadilika akawa haeleweki tangu mirathi imetoka kawa mpole mapenzi motomoto simuelewi kaamua kujirekebisha au nii hii...www.jamiiforums.com
Nimejitahidi sana kutumia lugha nzuri ila niseme ukweli kipindi hichi wanawake mnaharibu saana ndoa ukichunguza hata kesi ya huyu utakuta tatizo ni kumtunishia msuli mume wake ndo mana kajikuta hali hiyo.... Ukweli ni kwamba si rahisi mwanaume aliyekuoa akakutelekezea mtoto kirahisi ivoSawa lkn sio wakt wake ulishapona maumivu Yako unajua pia hali wanazopitia wengine punguza ukali wa maneno
Asante mahabuba,may God bless you ❤️kipenz changu hata kama dunia yote ikikukera wala usijali atakuwepo mmoja kukufariji ambaye ndio mimi
Unamfundisha kudanga?sijapenda kwakweli [emoji848][emoji2]Pole sana mpenzi, Ila nikwambie dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie, Kama ilivyo dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie....upo?
Umesema mtoto ana mwaka mmoja, hebu Acha kulea kizamani, oga utakate, jipende, pendeza.....Acha kumuwaza huyo mwanaume halafu utaleta mrejesho hapa.
You know it makes me unhappyNimesoma comments zako nikajiuliza, inawezekana Makaveli kweli alikimbilia Tanzania nini! Refer issue ya Godfather wake marehemu Geronimo Platt “Ji-Jaga kujichimbia zake Chuga… umejua kuwafariji hawa wadada to keep their head up…
“If he can’t learn to love you should leave him, cause sister you don’t need him, I ain’t tryna gas up ….” Pumzika Makaveli.
Huyu tatizo lake lilianzia hapa [emoji116]Wadau mpo Makini kufungua mafaili ya zamanii
Sahii kabisa,Dada kwanza pole Sana kwa mazito yaliyokufika n mapito tu hili nalo litapita Kama mengine tu
Sasa dada nimefuatilia nyuzi zako huko nyuma inaonekana mwanzon ulikuwa na mahusiano na mtu mwingne na mkafanikiwa kupata mtoto wenu kwa mujibu wako yupo std 3 kisha mkaachana japo s kwa Aman baadae ukapata mtu mwingne mmeishi pamoja mkapata mtoto Leo mmeachana Tena sasa huoni Kama Kuna shida mahali dada yangu?
Kila mtoto na baba yake na bado n binti wewe unaweza ukapata mtu mwingne akakuzalisha Tena sidhan Kama mtu akuoe asitake mtoto na yeye
USHAURI wangu hebu jifanyie tathmin kwanza wewe mwenyewe kabla ya kuwanyoshea vidole hao wanaume uliopata zaa nao na mkaishi pamoja
Huko nyuma katika wako mmoja ulipata kuyasema haya kuwa mzazi mwenzako anamawasiliano na wewe. Ambayo hukuyapenda kwann hukumblock mapema kuepusha matatizo unadhan mwanamme ambaye unaishi naye angefurahia hayo mawasiliano wakat yeye ndye anayetoa huduma? Usimuone Kama ndez hyo mwanaume wa mwisho uloyeoshi nae lazma alikuwa anafuatilia nyendo zako
JITATHMIN
Tukiwa bado tunamtafakari akatujia tena na hili lingine [emoji116]Huyu tatizo lake lilianzia hapa [emoji116]
Kweli nimepatikana siamini
Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa. Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda...www.jamiiforums.com
Naukatalia,Story zako ni chai tupu,according to your past threads unatunga story
Sidhani kkama alimaanisha kudanga, ila kama maana yake kudanga kakosea.Unamfundisha kudanga?sijapenda kwakweli [emoji848][emoji2]
Sahii kabisa,Unahitaji counseling on a serious note. Njia ya kwanza ya kutatua tatizo ni kujua chanzo chake and then you take appropriate responsibility. Kindly be advised.
NakaziaYani wewe nyuzi zako zooote ni kuonewa na kulalamika.
Trust me uko na shida, jichunguze. Kuna sehemu unakosea tena Sana.
Niko hapa kukupa ushauri Ila naomba unijibu swali langu moja Tu! Unadhani Kwa nini unapitia vipind vigumu Kwa wanaume?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app